Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Magufuli anaipeleka nchi kwenye muelekeo sahihi, tuzidi kumuunga mkonoUsifikiri hawa ni kama wanamgambo wa chattle. Nduli Magu anakosea mnatakiwa kumwambia ukweli au mnasubiri mpaka yampate ya akina Mobutu?
Wekeni maslani mapana ya nchi mbele na sio matumbo yenu. Mnamtumia Nduli vibaya mwisho mtamtupa kama takataka.Magufuli anaipeleka nchi kwenye muelekeo sahihi, tuzidi kumuunga mkono
Mimi sifaidiki na pesa yoyote ya Magufuli ila nachomkubali huyu mkulungwa ni jinsi anavyoiweka nchi properly kwenye world mapWekeni maslani mapana ya nchi mbele na sio matumbo yenu. Mnamtumia Nduli vibaya mwisho mtamtupa kama takataka.
Kwa taarifa yako tu Tanzania imeingia kwenye world map ya nchi zenye utawala mbaya zaidi kisheria, kidemokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na nchi zisizoaminika kutokana na kutotoa takwimu sahihi. Huwezi amini sasa Tanzania inatajwa kama moja ya nchi chache Afrika zinazotawaliwa kimabavu. Hii ndio ramani unayoitaka?Mimi sifaidiki na pesa yoyote ya Magufuli ila nachomkubali huyu mkulungwa ni jinsi anavyoiweka nchi properly kwenye world map
Pumbafu .unafikiri tunawaogopa!!wakipita juu tutawatumbua,wakipita ardhi tutawakanyaga!!Kuna jambo linafuata siku si nyingi na wengine tumeshaonya kupitia hapa JF.
Hawanajipya hao. Wajikite kwanza kumomonyoa mfumo mkongwe wa ubaguzi wa rangi na uvunjifu wa haki ya Kuishi kwa Wamarekani weusi huko kwao, kabla ya kuangalia mapungufu ya nchi nyengine.....
Kuwaua black Americans ndiyo democracy, Uhuru wa kujieleza siyo??Kwa taarifa yako tu Tanzania imeingia kwenye world map ya nchi zenye utawala mbaya zaidi kisheria, kidemokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na nchi zisizoaminika kutokana na kutotoa takwimu sahihi. Huwezi amini sasa Tanzania inatajwa kama moja ya nchi chache Afrika zinazotawaliwa kimabavu. Hii ndio ramani unayoitaka?
Huo ndio ujinga.Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu
Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Ni jambo gani mmepanga na mabeberu?Kuna jambo linafuata siku si nyingi na wengine tumeshaonya kupitia hapa JF.
Yote hayo mabaya inaelekea wewe na NDULI mpya mnajitetea badala ya kukemea uovu huo.Kuwaua black Americans ndiyo democracy, Uhuru wa kujieleza siyo??
Kwa taarifa yako tu Tanzania imeingia kwenye world map ya nchi zenye utawala mbaya zaidi kisheria, kidemokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na nchi zisizoaminika kutokana na kutotoa takwimu sahihi. Huwezi amini sasa Tanzania inatajwa kama moja ya nchi chache Afrika zinazotawaliwa kimabavu. Hii ndio ramani unayoitaka?
Inasikitisha jinsi mnavyomuunga mkono NDULI MAGU mjue kwamba ni yeye ndio atawajibika kwa yote mwisho wa siku kama vile Mobutu, Saadam Hussein, Ghaddaf, Mugabe, Idd Amini na wengine walivyoishia vibaya. Msaidieni ndugu yenu.So what! Mbona Israel imeingizwa kwenye daftari la kumega na kukalia kimabavu ardhi ya Wapalestina, lakini mbona hakuna chochote cha maana kinachoendelea? Undumilakuwili usikupofushe weye.
Fikiri na amua kwa akili na utashi wako!
msimponze mwenzenu haya weeMtaota hizi ndoto hadi lini ?
Unawatetea wa nini mkuu, wameshindwa kuzuia rascim kwao ndo wanakuja kutuingilia sisi🤨🤨🤨🤨Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.
Mkuu Magufuli tupo naye for a long run.msimponze mwenzenu haya wee
usije ukawa kama Petro ndugu..... siku akianza kupanda ndege nyie hao uvunguni mwa meza.Mkuu Magufuli tupo naye for a long run.
Tuache kujipa matumaini hewa, hawa mabeberu hawawezi kutusaidia kwa chochote toka mikono hiyo dhalimu, cha muhimu ni kuikubali hali ilivyo
Sitarajiiusije ukawa kama Petro ndugu..... siku akianza kupanda ndege nyie hao uvunguni mwa meza.
Rascim ni human nature hakuna Jamii iliyoweza izuiaUnawatetea wa nini mkuu, wameshindwa kuzuia rascim kwao ndo wanakuja kutuingilia sisi🤨🤨🤨🤨
Usimzoee Mwenyezi Mungu!Mungu wabariki Wazungu