Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Usifikiri hawa ni kama wanamgambo wa chattle. Nduli Magu anakosea mnatakiwa kumwambia ukweli au mnasubiri mpaka yampate ya akina Mobutu?
Magufuli anaipeleka nchi kwenye muelekeo sahihi, tuzidi kumuunga mkono
 
Wekeni maslani mapana ya nchi mbele na sio matumbo yenu. Mnamtumia Nduli vibaya mwisho mtamtupa kama takataka.
Mimi sifaidiki na pesa yoyote ya Magufuli ila nachomkubali huyu mkulungwa ni jinsi anavyoiweka nchi properly kwenye world map
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania imeingia kwenye world map ya nchi zenye utawala mbaya zaidi kisheria, kidemokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na nchi zisizoaminika kutokana na kutotoa takwimu sahihi. Huwezi amini sasa Tanzania inatajwa kama moja ya nchi chache Afrika zinazotawaliwa kimabavu. Hii ndio ramani unayoitaka?
 
Kuwaua black Americans ndiyo democracy, Uhuru wa kujieleza siyo??
 
Wapambane na iran kwanza hao makuwaidi wa ubeberu

Tanzania tuna marafiki wazuri km China na Russia hao USA hatuna muda nao
Huo ndio ujinga.

Hao marafiki hawawezi kuzuia chochote hao wababe wakidhamiria.

Sema hawana maslahi mapana kwa sasa ya kuwasukuma wafanye kweli.
 
Kwa taarifa yako tu Tanzania imeingia kwenye world map ya nchi zenye utawala mbaya zaidi kisheria, kidemokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na nchi zisizoaminika kutokana na kutotoa takwimu sahihi. Huwezi amini sasa Tanzania inatajwa kama moja ya nchi chache Afrika zinazotawaliwa kimabavu. Hii ndio ramani unayoitaka?

So what! Mbona Israel imeingizwa kwenye daftari la kumega na kukalia kimabavu ardhi ya Wapalestina, lakini mbona hakuna chochote cha maana kinachoendelea? Undumilakuwili usikupofushe weye.

Fikiri na amua kwa akili na utashi wako!
 
Inasikitisha jinsi mnavyomuunga mkono NDULI MAGU mjue kwamba ni yeye ndio atawajibika kwa yote mwisho wa siku kama vile Mobutu, Saadam Hussein, Ghaddaf, Mugabe, Idd Amini na wengine walivyoishia vibaya. Msaidieni ndugu yenu.
 
Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.
Unawatetea wa nini mkuu, wameshindwa kuzuia rascim kwao ndo wanakuja kutuingilia sisi🤨🤨🤨🤨
 
msimponze mwenzenu haya wee
Mkuu Magufuli tupo naye for a long run.

Tuache kujipa matumaini hewa, hawa mabeberu hawawezi kutusaidia kwa chochote toka mikono hiyo dhalimu, cha muhimu ni kuikubali hali ilivyo
 
usije ukawa kama Petro ndugu..... siku akianza kupanda ndege nyie hao uvunguni mwa meza.
 
Wanafik hao wanasemaje nao? Mbona uchaguzi wa Zanzibar 2015 waliacha dhulma na kuendelea kushrikiana na serikali dhalim.
 
Back
Top Bottom