antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Waache maneno maneno, wachukue hatua kali harakaBado tu hawajaacha tabia ya matamko ya kijinga jinga kila siku, wanahangaika sana na hii nchi waseme tu ukweli nini wanachokitaka na si kutufanya wajinga eti wanauchungu na Tanzania.
Kaimu balozi na Balozi hawapo ili tamko la kichochezi limetolewa na nani?
Hawa dawa yao ni kuufunga kabisa ubalozi.Kaimu balozi na Balozi hawapo ili tamko la kichochezi limetolewa na nani?
Mtkufa njaa kima nyieWamarekani katika ubora wa unafiki wao.
Kwanza wamalize kushughulika na uozo wa polisi wao wanaoua raia weusi kwa kuwanyonga.
Aisee ni heri wabaki na pesa zao, kuliko huu uozo wanatufanyia.Kawe Alumni unawajua development patners wa bajeti ya jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Wafukuzeni basi!
Bora tu waendelee kutoa matamko, maana siku watakapochoka kutoa matamko Basi tutaona Damu inamwangika. Hawa jamaa siyo Watu wa mchezomchezo
Balozi na Kaimu balozi hawapo lakini matamko yanaendelea. Maana yake wanatuangalia kwa karibu sana
Halafu yale majengo ya ubalozi wa Marekani yageuzwe kuwa ofisi ndogo za Ccm
Kawe Alumni unawajua development patners wa bajeti ya jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Hao watu weusi hawajui kuwa kwao ni Afrika?Kwani wameshatoa uhuru kwa watu weusi nchini mwao?