Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Bado tu hawajaacha tabia ya matamko ya kijinga jinga kila siku, wanahangaika sana na hii nchi waseme tu ukweli nini wanachokitaka na si kutufanya wajinga eti wanauchungu na Tanzania.
Waache maneno maneno, wachukue hatua kali haraka
 
Balozi na Kaimu balozi hawapo lakini matamko yanaendelea. Maana yake wanatuangalia kwa karibu sana
 
Mahubiri haya yamekuwa mengi, Hakuna hubiri lolote litakaloleta mabadiliko. Tanzania si nchi ya kiroho kuwa ikihubiriwa kila wakati itaokoka.
 
Sasa balozi na naibu wake hawapo, sijui watamuita nani, asije kuja tukamuona Pompeo?
 
Back
Top Bottom