Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.
Inafahamu gharama ya kuwaweka wakimbizi Tanzania? Unafikiri kwa nini Rais Obama alikubali kuwachukua wakimbizi wa Rwanda, Burundi na Congo ambao walikuwa wamerundikana Tanzania? Hebu tuwekee gharama halisi ili tufahamu kama kweli wazungu ndio walipaji wakubwa wa hilo deni la wakimbizi.