Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Ubalozi wa Marekani nchini wasikitishwa na Uminyaji demokrasia na ukamataji wa Viongozi wa Upinzani nchini

Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.

Inafahamu gharama ya kuwaweka wakimbizi Tanzania? Unafikiri kwa nini Rais Obama alikubali kuwachukua wakimbizi wa Rwanda, Burundi na Congo ambao walikuwa wamerundikana Tanzania? Hebu tuwekee gharama halisi ili tufahamu kama kweli wazungu ndio walipaji wakubwa wa hilo deni la wakimbizi.
 
Ukiona Bubu Ataka Kusema ( _ _ _ ) Basi lazima ukubali kwamba fazil ya punda ni mateke.
 
Hawa watu na wenyewe waache kulalamika wakati wana uwezo wa kuchukua hatua muda wowote wakipenda.
Hii serikali imeshadhihirisha kuwa haiwezi kujirekebisha na sana sana ndio inazidi kuwa ya hovyo kadri siku zinavyozidi kusogea.
 
Huko Marekani mnakokimbilia kilasiku ndiyo hari ni mbaya kuliko na muda si mrefu Trump atatangaza utawala wa kinazi nadhani sasa mtakimbilia china
 
Inafahamu gharama ya kuwaweka wakimbizi Tanzania? Unafikiri kwa nini Rais Obama alikubali kuwachukua wakimbizi wa Rwanda, Burundi na Congo ambao walikuwa wamerundikana Tanzania? Hebu tuwekee gharama halisi ili tufahamu kama kweli wazungu ndio walipaji wakubwa wa hilo deni la wakimbizi.
Google,tiketi tu ndege kwenda USA na Canada unaijua?Nchi gani ya kiafrica inashirika la kuhudumia wakimbizi?Mbali na kuleta matatizo duniani.
Ni sahihi kwa jumuia za kimataifa kuwashughulikia watawala waliokosa malezi Bora utotoni ambao uisumbua duniani na chanzo cha kuleta vurugu duniani.
 
Kwao kuna uhuru mkubwa, ndiyo maana watu wameruhusiwa kuandamana kupinga kuuawa kwa Mmarekani mwenye asili ya Afrika. Hapa kwetu unaruhusiwa kuandamana kuoinga jambo lilote hata kama ni baya kiasi gani?

Ebu fikiria, Serikali ilipiga marufuku hata kufanya ibada kwaajili ya Tundu Lisu akiwa kwenye hatua hatari ya uhai wake. Hivi unaweza kufikiria hiyo Serikali ya kishetani kwa kiwango gani?

Uovu na watu waovu wapo nchi zote lakini hutegemei Serikali nayo iwe ya kiovu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapambane na haki za ndugu zetu weusi Kwanza ndo waje kwetu.

Wanafiki Sana hawa.
 
Wanafik hao wanasemaje nao? Mbona uchaguzi wa Zanzibar 2015 waliacha dhulma na kuendelea kushrikiana na serikali dhalim.
Pumbavu kabisaa

Wewe ulijua kabisa kuna dhuluma, hauchukui hatua yoyote, unasubiri mzungu aingilie kati.

Hizo ni akili au matope ?
 
Bora tu waendelee kutoa matamko, maana siku watakapochoka kutoa matamko Basi tutaona Damu inamwangika. Hawa jamaa siyo Watu wa mchezomchezo
 
Corona haijawashinda wanaendelea kuidhibiti lakini Tanzania mmegoma kutangaza wagonjwa ili corona isambae kwa wingi waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa waogope kuja Tanzania ili CCM wafanye uchakachuaji wizi wa kura bila wa kuwauliza

Heshima ya Taifa Letu, inashuka kila kukicha
 
Back
Top Bottom