Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana
Marekani tuondoleeni huyu nduli
JK Nyerere alisema, kila mtu anataka awe na hakika ya Kesho yake, haiwezekani mtu akashauriwa na mkewe huko halafu...., Tueshimu sheria, tuache demokrasia isitawi, pia tueshimiane na kuvumiliana, mwisho tusioneane na kudhalilishana, tukitekeleza hayo amani na umoja utaimarika zaidi na kudumu!Itategemea mmeamkaje siku hiyo.
Kima wewe unayejifariji kwa kuondolea hasira mitandaoni.Mtkufa njaa kima nyie
Watu wao wakipewa haki ya kuandamana dhidi ya baya lolote, na sisi tutawapa haki ya watu kuandamana hapa kwetu dhidi ya maovu?Inabidi tuwaige mambo yanapokwenda mrama kwao wakipiga risasi Raia na sisi tunatoaa ka tamko wakileta nyoko tunahesabiana matamko
Super wise words mkuu,ni kama vile Nyerere aliona yajayo yatakavyokua.JK Nyerere alisema, kila mtu anataka awe na hakika ya Kesho yake, haiwezekani mtu akashauriwa na mkewe huko halafu...., Tueshimu sheria, tuache demokrasia isitawi, pia tueshimiane na kuvumiliana, mwisho tusioneane na kudhalilishana, tukitekeleza hayo amani na umoja utaimarika zaidi na kudumu!
Mkuu hapa unataka kusemaje? Kwamba kwa kuwa hao watu wawili hawapo basi ubalozi wa marekani nchini Tanzania umefungwa?Kaimu balozi na Balozi hawapo ili tamko la kichochezi limetolewa na nani?
Hadi Leo hujui anayezalisha wakimbizi duniani hasa Afrika?Ni lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.
Watawala wa kiafrica sababu hatuwezi jiongoza kutokuheshimu tu katiba zetu ndipo upelekea machafuko ambayo uzalishaji wakimbizi.Hadi Leo hujui anayezalisha wakimbizi duniani hasa Afrika?
Habari yako MkuuThey are like God...
Ukawii kuanza kuwa worship
Kwani wazungu kwao ni Amerika?Hao watu weusi hawajui kuwa kwao ni Afrika?
naona umejawa na hayo matope kichwani.Pumbavu kabisaa
Wewe ulijua kabisa kuna dhuluma, hauchukui hatua yoyote, unasubiri mzungu aingilie kati.
Hizo ni akili au matope ?
Kama watu wana uhuru but they cannot breathe in their own country what does it mean?
Endeleeni kuwambia na kuwa kumbusha siku mkikinukisha wasiseme hamkusema. Wekeni hizo kwenye kumbukumbu.
CorrectNi lzm wasikitishwe sababu wanao uzoefu wa hayo.Maana wao ndio uingia gharama kubwa za kuhudumia wakimbizi na sio sisi Kama waafrika.Nchi za kiafrica ziwezacho ni kuzalisha wakimbizi duniani na sio kuhudumia wakimbizi.
Pia sisi ni global village ni sehemu ya dunia.
Jumuia za kimataifa zipewe meno za kuwaeliminate watawala wote duniani wenye viashiria vya uvunjifu wa amani sababu ya malezi mabovu utotoni,hii itaeupusha jumuiya za kimataifa kuingia gharama kubwa za kusawazisha Mambo pakichafuka.