lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Ukiiadhibu Zanzibar kwa vikwazo, umeiadhibu Tanzania Bara kwa sababu Bara itaisaidia Zanzibar.Ukiiadhibu Tanzania Bara, Zanzibar itaendelea kupata misaaada huku yenyewe ikiwa haina uwezo wa kuisaidia Bara.What happened 2015 in Zanzibar kelele nyingi but zero results
Pesa zipo bhana. aseme kingine.Huyo mwanamke anataka hela! Na mimi sioni hatari kupoteza hela..
Mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama, si unafahamu?
that's exatly the truth about this saga!Ni lini wamarekani realitieshwa na chaguzi za Tanzania?
Us hawana legitimacy ya kukosoa uchaguzi wetu,Trump aliingia kwa figisu
natamani ukoloni urudi kuliko ilivyo sasa. Sijui ni kwa nini.Mungu wabariki Wazungu
Yaani moja ya yaliyowaleta ni hayo wanayoongelea. unafikiria wamekuja hapa kuimba mapambio kama sisi PUNDAMILIA wa serengeti?Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Nyumbu wa Ufipa wameshindwa zaidi ya kuloloma tu mtandaoni!Chukueni hatua na nyie US bwana!
Kama mnawasubiria hao ili uchaguzi urudiwe, mtakuwa kama fisi anayesubiria mkono wa binadamu uanguke apate mlo!Yaani moja ya yaliyowaleta ni hayo wanayoongelea. unafikiria wamekuja hapa kuimba mapambio kama sisi PUNDAMILIA wa serengeti?
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Kwani mambo yaliyowaleta ni yapi wewe unayoyajua?.Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Utashangaa Wanaitwa Mabeberu wakati wakitoa misaada wanaitwa washirika wa maendeleo.
Chukueni hatua na nyie US bwana!
Vikwazo gani? We unaogopa vikwazo amka Tanzania ni yetu na sio hao waamerica.Kwa Akili za Mwenyekiti Wao, hachelewi Kuropoka Kuwa Hauwahusu. Atambue Muda wowote tunaweza wekewa Vikwazo ndipo ataelewa wanahusika au lah!
Hatujawa Kisiwa Kumbuka. Wewe unaishi Dunia ipi, umeaona alichofanya Trump leo Juu ya China. Don't be stupid.Vikwazo gani? We unaogopa vikwazo amka Tz ni yetu na sio hao waamerica.
Hatujawa Kisiwa Kumbuka. Wewe unaishi Dunia ipi, umeaona alichofanya Trump leo Juu ya China. Don't be stupid.
Hamna bwana, hao US wanatuonea wivu kwa sababu tumenunua ndege.Chukueni hatua na nyie US bwana!