Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

What happened 2015 in Zanzibar kelele nyingi but zero results
Ukiiadhibu Zanzibar kwa vikwazo, umeiadhibu Tanzania Bara kwa sababu Bara itaisaidia Zanzibar.Ukiiadhibu Tanzania Bara, Zanzibar itaendelea kupata misaaada huku yenyewe ikiwa haina uwezo wa kuisaidia Bara.
Hiyo ndio ponapona ya Zanzibar.
 
Ni lini wamarekani walisikitishwa na chaguzi za Tanzania?
US hawana legitimacy ya kukosoa uchaguzi wetu,Trump aliingia kwa figisu
 
Yaani moja ya yaliyowaleta ni hayo wanayoongelea. unafikiria wamekuja hapa kuimba mapambio kama sisi PUNDAMILIA wa serengeti?
Kama mnawasubiria hao ili uchaguzi urudiwe, mtakuwa kama fisi anayesubiria mkono wa binadamu uanguke apate mlo!
 
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu

Nasi tunasikitika pia na mengi yanayotokea huko Marekani kuhusu watu weusi kuuawawa, unyanyasaji wa weusi na watoto kulazimishwa mapenzi ya jinsia moja.
 
Hakuna kipya. A political moral police with Apolitical immoral imbalance.
However it does not exclude the truthfullness the cause and effect.
Mchakato na Uhalali.
 
Utashangaa Wanaitwa Mabeberu wakati wakitoa misaada wanaitwa washirika wa maendeleo.

Mambo mengine bwana!! Yaani utoaji misaada ndio tuwaruhusu watukalie kooni?

Mbona Tanzania haikuingilia kati wizi wa kura kwenye Jimbo la Florida wakati Bush Jr na mdogo wake Jeff wakishirikiana na msimamizi wa kupiga kura walipo-rig votes, sio hilo tu walikwenda mbali zaidi kwa kufuta majina ya wapiga kura wenye asili ya Africa (Afro American) waliondolewa kwenye daftari/ database ya wapiga kura.

Hivi inaingia akili kwamba USA ina moral authority ya kunyoshea kidole Tanzania kuhusu ukiukwaji wa demokrasia wakati baadhi yao wanakula njama za kutaka kumuondoa madarakani Rais wao (Trump) aliye chaguliwa kidemokrasia.
 
Kwa Akili za Mwenyekiti Wao, hachelewi Kuropoka Kuwa Hauwahusu. Atambue Muda wowote tunaweza wekewa Vikwazo ndipo ataelewa wanahusika au lah!
Vikwazo gani? We unaogopa vikwazo amka Tanzania ni yetu na sio hao waamerica.
 
November 28, 2019
Unguja , Zanzibar

Matamko ya balozi za nje yaitikisa CCM

Kufuatia matamko ya balozi za nje zenye wakilishi wao Tanzania kuhusu kutoridhishwa na hali ilivyokwenda ktk Chaguzi za Serikali za Mitaa na Vijiji chama cha CCM kimetoa onyo kwa balozi hizo na kutaka mawaziri wa Tanzania kutotoa ushirikiano au kuitikia miadi ya mabalozi hao ama sivyo mawaziri hao wa serikali ya Tanzania watatimuliwa kazi na chama kilichoshika hatamu ya uongozi za kusiasa na serikali ya Tanzania yaani chama kikongwe cha CCM.

 
Back
Top Bottom