Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Liko wapi?Naona na ubalozi wa Uingereza wametoa pia tamko. Lina maneno machache lakini ni zuri,clarity kama yote.Ila kama taifa tunatia aibu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liko wapi?Naona na ubalozi wa Uingereza wametoa pia tamko. Lina maneno machache lakini ni zuri,clarity kama yote.Ila kama taifa tunatia aibu sana.
Twitter pia check website yao ya FCO. Nimejaribu lakini nimeshindwa kuli insert hapa.Liko wapi?
Mkuu, nakuelewa sana unapo ongelea demokrasia. Nami pia sifurahishwi na baadhi ya mambo yanayo endelea kisiasa nchini kwetu.Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
😊😊lipo kwenye website yao ya US Embassy Tanzania. Ila hata huko pia halina signature, no signatory yaani.Reliable source of informations please, No address, No signatory,
Lakini ndiyo hao hao tunawaita mabeberu au marafiki wa maendeleo kutegemeana na mustakabali uliopo.Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Yes mkuu, matumizi ya maneno haya mawili yanategemea na mazingira yaliyopo.Utashangaa Wanaitwa Mabeberu wakati wakitoa misaada wanaitwa washirika wa maendeleo.
Mbona sisi Tanzania huwa hatuingilii chaguzi za Marekani?Chukueni hatua na nyie US bwana!
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Liko wapi?
]
![]()
Unafiki wa kiwango cha PhD!Utashangaa Wanaitwa Mabeberu wakati wakitoa misaada wanaitwa washirika wa maendeleo.