Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Ubalozi wa Marekani: Tumesikitishwa na ukiukwaji uliojitokeza kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania

Reliable source of informations please, No address, No signatory,
 
Nenda Uendako Jiwe, Katika Dunia hii Hakuna Mbabe wa Marekani, Wakiaamua Watakunyoosha na Tanzania yako, na hapo ndipo Utakuwa Mwanzo wa Kuparuana na Mwisho Mambo yatakuwa safi, kwa maana Utapatikana Ukombozi wa Watanzania. Kuna Muda nawaelewaga saana hawa Viumbe Ngozi Nyeupe!
Mkuu, nakuelewa sana unapo ongelea demokrasia. Nami pia sifurahishwi na baadhi ya mambo yanayo endelea kisiasa nchini kwetu.

Lakini hebu nikumbushe ni nchi gani ambayo hao wazungu waliingilia kati na kuwaondoa ama kuwaua viongozi wanaowatuhumu kuwa wanadhulumu haki za raiya wao alafu nchihiyo ikapata amani ya kudumu na maendeleo.

Some times things a very complicated in this world.
Tuwe makini.
 
Watutekenye kidogo kwenye vikwazo labda akili itakaa sawa
 
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Lakini ndiyo hao hao tunawaita mabeberu au marafiki wa maendeleo kutegemeana na mustakabali uliopo.

Tunajidai tunajenga SGR na Stieglers kwa hela zetu. Kesho bila chembe ya aibu tunaenda kuwapigia magoti watukopeshe.
Ukiacha China, huko kwingine tunakokopa, wana ushawishi mkubwa.
 
Hawa jamaaa naanza kuamini huwa wanawatumia Vyama vya Upinzani kutimiza malengo yao nchini, ona sasa leo wanasema wasimamizi walivitenga vyama vya upinzani wakati vyama vyenyewe havikuwapa ushirikiano Wagombea wa namna nzuri ya kujaza fomu.
 
Wao wameyajuaje hayo mambo wakati sisi wananchi hatuna tatizo lolote. Ndiyo kwanza mvua zinanyesha tupo shambani hatuna tatizo na uchaguzi. Wajukuu zetu ndio watakuwa na uelewa kama huo mnaotueleza hapa.
 
Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu

Mambo ya nchi yetu sio kufanya uhayawani kwenye chaguzi. Siku hao wazungu watakuja wataungwa mkono kama Walibya walivyofanya kwa Gaddaf
 
Aaron Arsenal,
Kama wao wanasikitika wakati nchi si yao inashangaza na kuchekesha sana..sasa ww ulitupia hapa waambie wamarekani sisi wenye nchi yetu tumefurahishwa sana sasa wao waendelee kusikitika wakimaliza wachague wimbo
 
Liko wapi?
]
pic.jpg
 
Mmmmhhh haaa na sisi tunachukizwa na mambo ya Trump basi.. 🏃🏃😡😜😜😂
 
Liwagu, Uyo anaeminya Demokrasia ndio anataka kutufikisha huko, Kwa kujifanya yeye ni kidume na anajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom