Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hichi wanachofanya ndiyo kazi iliyowaleta, kwani unateseka?Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Mara nyingi watu vichwa maji huwa hawaambiliki hadi wazabwe vibao. Viongozi wa Tanzania wamekuwa ni vichwa maji balaa, kiburi kimewajaa hadi kwenye masaburi; hata sielewi wanategemea nini!!!?Kwa Akili za Mwenyekiti Wao, hachelewi Kuropoka Kuwa Hauwahusu. Atambue Muda wowote tunaweza wekewa Vikwazo ndipo ataelewa wanahusika au lah!
Lakini itamgharimu yeye na Taifa kiujumla. Japo upande mwingine ndiyo utakuwa mwanzo wa Kuheshimu maamzi ya sheria na kwenda Tanzania mpya ya Watanzania na si ya CCM.Mara nyingi watu vichwa maji huwa hawaambiliki hadi wazabwe vibao. Viongozi wa Tanzania wamekuwa ni vichwa maji balaa, kiburi kimewajaa hadi kwenye masaburi; hata sielewi wanategemea nini!!!?
Mkuu, nakuelewa sana unapo ongelea demokrasia. Nami pia sifurahishwi na baadhi ya mambo yanayo endelea kisiasa nchini kwetu.
Lakini hebu nikumbushe ni nchigani ambayo hao wazungu waliingiliakati na kuwaondoa ama kuwauwa viongozi wanaowatuhumu kuwa wanadhulumu haki za raiya wao alafu nchihiyo ikapata amani ya kudumu na maendeleo.
Some times things a very complicated in this world.
Tuwe makini.
Unadhani vile vidonge unavyopewa Bure vya ARV nani anakuletea? Hujui bila wao Leo ungejulikana kama Hayati Bwana jela?Wafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Ndio haya wanayoyasemea ndio yaliyowaletaWafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Sisi ni sehemu ya dunia, moto ukiwaka huoni wao ndo tunawapa gharama za kuhudumia wakimbiziWafanye Kazi iliyowaleta waache kuingilia mambo ya Nchi Yetu
Mungu yupi, labda Baali. Kama Ni Jehova wa Ibrahim, Isaka na Yakobo thubutu, hakaagi meza moja na mafidhuli.Tunategemea Mungu!
Hata najiuliza swali la kuwa kumbe Demokrasia ni mali ya Marekani?Watafanya nini