Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.

Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.

Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.

Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.

IMG_20200131_121700.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.View attachment 1341947

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
 
Na kuhusu WB, kwa nini tunang'ang'ania wakati tunawaita mabeberu, huku tukisema hizo taasisi zinatumika kutuumiza?

Kama tunavuka malengo ya makusanyo na tunafika trl 1 kila mwezi tangu awamu hii iingie madarakani huku tunabana matumizi, madaraja wafanyakazi hatupandishi, rushwa imedhibitiwa SASA kwanini tudhalilike tung'ang'anie mkopo wa trl 1? Hadi Bunge linalalamika sisi kukosa trl 1

Tunasema tuna hela na matajiri lakini tunalilia trl 1 kwa ajili ya Elimu? Vipaumbele tuliweka nini? Ndege au Elimu?

mnaojiita Wazalendo inaingia akilini kweli?
 
Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.View attachment 1341947

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu wabariki Wazungu
 
Iwapo hilo tangazo litakuwa kweli, tutahimiza watu wakajiandukishe kupiga kura, na iwapo sio kweli tutapiga kelele ya tume huru ya uchaguzi mpaka huo uchaguzi uwe ni uchafu kama uchafu mwingine.
Ni la kweli
 
Back
Top Bottom