Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Chakaza,
Urafiki Wetu wa ukaribu sana na China huku tukiwapa Fursa nyingi za Kiuchumi na Kiuwekezaji ndiko kunapelekea Siku hizi Tanzania kuanza Kuchukiwa, Kughasiwa na Kutishwa huku na Marekani.

Yanayotokea sasa katika Awamu ya Magufuli yalikuwepo hata katika Awamu za Mkapa na Kikwete ila Wamarekani hawa hawa walinyamaza ila leo wanaibuka kupitia ' angle ' ya Demokrasia na Haki za Kibinadamu katika hali ya ' Kinafiki ' kabisa halafu kuna Watanzania baadhi wanawaamini.

Ni kweli kwamba kunaweza kuwa na ' Changamoto ' kadhaa katika Awamu hii ila naona Wamarekani sasa wana Agenda yao ' Hasi ' kabisa dhidi ya Tanzania kama nchi na Watanzania kwa Ujumla ila kamwe hawatofanikiwa.
 
Hao ndio MABEBERU/ WANAUME a.k.a. BABA LAO. WANALALA NAE MBEREEE..!

Magufuli kazi anayo mwaka huu. Mdomo uliponza kichwa, kama aliongea tu uchaguzi utakua HURU na HAKI ili apate mpunga wa WB,
Imekula kwake.

#TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Nasapoti tume huru ya uchaguzi.... Coz hata iweje anko atapita tu
 
Chakaza, Basi mlivyowajinga mtabweteka na kusema tayari kuna hakikisho la uchaguzi huru na tume huru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

BAVICHA huwa mnafurahisha sana aisee. Hivi tamko kama hilo si huwa yanatolewa kila uchaguzi ukikaribia? Je kuna lolote huwa mnalipata kutokana na matamko kama haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2020-01-31-13-01-09-1-1.jpeg
 
Chakaza,
Tume huru? inapendeza kulisikia hili neno ila CCM wanaogopa tume huru kwavile CCM ni chama pendwa tena zaidi kwa awamu hii ya 5 ili kuwahakikishia wale wanaobeza kwamba CCM haipendwi tuwe na tume huru
 
GENTAMYCINE,
Kufanikiwa au kufeli kunategemeana na mshikamano na umoja wa raia ndani ya nchi, tuhakikishe hilo lipo na linadumu. Vita vya silaha na kiuchumi hatutawashinda, raia wetu ndo silaha yetu. Ni vyema tukafahamu raia wanafikiri nn.
 
GENTAMYCINE, Kipi cha tofauti katika tamko lao? Jee hatuhitaji Uhuru wa kuchagua viongozi? Hatuhitaji amani wakati wa kampeni sawa kwa vyama vyote au Tume huru ya uchaguzi?

Elewa kuwa tamko hili ni kuunga mkono kauli ya Rais mwenyewe alipo waita mabalozi kuzungumza nao, iweje wao wamuunge mkono na kukazia kauli yake waitwe wana lao jambo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wabariki Wazungu
Kwa hiyo kwa tamko hilo tayari mmeshinda?

Ccm itaondoka madarakani kwa mbinu na mikakati makini toka upinzani, siyo matamko yanayobandikwa kwenye page za ubalozi wa US na nyie kuzileta humu.
Matamko kama hayo hata Museven amepewa mengi sana nadhani ana mafaili kabati zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni koko tu hujui unachoandika hapa democracy unaijua wewe? uchaguzi wa serekali za mitaa ulifatilia kweli au unajitia ujinga wako wakudanganya watu wewe mnyarwanda?

fool by nature! Haki za binadamu unazifahamu kweli wewe au unajitia kuwa wewe ni lile salamu la hotel Rwanda movie? Ukiulizwa Ben saanane yuko wapi utajibu?

Azory gwanda yuko wapi utajibu? Watekaji wanaoteka watu wanatokea wapi utanijibu? Wewe tulia hujui lolote tulia kimya maana hakuna chochote unachokifahamu misukule inajua, mizimu inafahamu, maiti nazo zinaona na hata Watanzania wasomi na wasio somi wanatambua yote hayo ila hakuna mrefu yasiyo kuwa na ncha, nyie ni mvua sisi ni mafuriko mitaro takata zote tutabeba ila haki ya mtu haipotei endelea kutete huo upumbavu wako.

ila alishasema watanzania sio wajinga na kweli siyo wajinga kama ataruhusu waje wale wajamaa wa Scotland Yard hapa hiyo kauli yake tutamwelewa. GENTAMYCINE,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza,
Hivi wanatupangia hayo yote wametoa hela? Au wanadhani wanaweza lazimisha kumuweka wanaomtaka wao?? Wanazani pata kalika? Wamuache Magufuli afanye kazi kama.

sisi wanyonge ndio hatutaki kabisa hata huo uchaguzi wao tunataka magufuli aendelee kwahiyo watuache wasituingilie kabisaaa na wala hatutoi mualiko kwao tunawaalika watu toka kwa kim jong un tu
 
Chakaza,
Mnhuuu.... Naona USA wanapita na kauli zake mwenyewee. Hawaongezi hawapunguzi.

Wacha tusibiri.

🎤🎹🎶🎷🎤🎤🎹🎧🎼🎼
 
Back
Top Bottom