Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Lisu tena?Ni zamu ya membe kuongoza nchi kama America wameshapanga iwe hivyo wewe ni Nani Hadi ubishe?
Tulia ww.
Msijifanye kuvimbisha korodani yatawakuta ya Gbagbo


Kuna watu hawalielewi hilo mpaka wabinywe kidogo ndio wanaelewaKarne hii huwezi kutawala nchi utakavyo kama walivyokuwa wafalme wa kale.
Hii ni fake news.Wana jamii forum, ubalozi wa Marekani Tanzania wataka tume huru ya uchaguzi iundweView attachment 1342093
Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Huu mtego marekani wameuweka makusudi.kutokana na kauli ya mzee.sasa ccm wasije jifanya kichwa ngumu wataumiaNi la kweli lipo kwenye official page yao