GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Chakaza,
Urafiki Wetu wa ukaribu sana na China huku tukiwapa Fursa nyingi za Kiuchumi na Kiuwekezaji ndiko kunapelekea Siku hizi Tanzania kuanza Kuchukiwa, Kughasiwa na Kutishwa huku na Marekani.
Yanayotokea sasa katika Awamu ya Magufuli yalikuwepo hata katika Awamu za Mkapa na Kikwete ila Wamarekani hawa hawa walinyamaza ila leo wanaibuka kupitia ' angle ' ya Demokrasia na Haki za Kibinadamu katika hali ya ' Kinafiki ' kabisa halafu kuna Watanzania baadhi wanawaamini.
Ni kweli kwamba kunaweza kuwa na ' Changamoto ' kadhaa katika Awamu hii ila naona Wamarekani sasa wana Agenda yao ' Hasi ' kabisa dhidi ya Tanzania kama nchi na Watanzania kwa Ujumla ila kamwe hawatofanikiwa.