Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!Tamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.View attachment 1341947
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa mzee John!Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Wacha bwanaHicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Ni la kweli lipo kwenye official page yaoKama hili bandiko la kweli
CCM hali inaanza kubadilika
Tumekaribia goligota
Mungu wabariki WazunguTamko hili ni kama agizo juu ya kauli aliyotoa Rais Magufuli juu ya uchaguzi mkuu wa 2020.
Hilo suala la Tume huru ya uchaguzi halijaingizwa hapo kwa bahati mbaya bali linaonyesha lina kusudio maalumu.
Haya US wamepiga kulia huku kushoto WB wametwanga kivingine.
Hakika mwaka huu kuna makubwa yaja tena yaja kisayansi kabisa.View attachment 1341947
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishawaambia vijana wengi humu kwamba Shetani hajawahi kumshinda MunguKama hili bandiko la kweli
CCM hali inaanza kubadilika
Tumekaribia goligota
Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Ni la kweliIwapo hilo tangazo litakuwa kweli, tutahimiza watu wakajiandukishe kupiga kura, na iwapo sio kweli tutapiga kelele ya tume huru ya uchaguzi mpaka huo uchaguzi uwe ni uchafu kama uchafu mwingine.
tutashirikiana na mabeberu kuwanyoosha hawa CCM mafisadi wakubwa hawa.Matamko haya sio bure kuna kitu 2020, CCM watajiingiza mtegoni wenyewe.
Mkuu ni la kweli na kwa lugha yao hili hapaKama hili bandiko la kweli
CCM hali inaanza kubadilika
Tumekaribia goligota
Wakubwa zako hawawezi sema hayo maneno kwa sababu wanajua madhara yake. Wewe lofa ndio unabwabwaja humuHicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!