Ubalozi wa Marekani: Tumetiwa moyo na hakikisho la Rais Magufuli kwamba uchaguzi mkuu 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye uwazi

Write your reply...mchimba kisima ajichimbia kisima na kutumbukia mwenyewe
 
Hao ni ccm siyo wazalendo!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafisiri msemo wa wahenga "Lisemwalo mbali litendwalo mbali"
 

Rungu linatumika tu pale unapokataa kutii sheria bila shuruti.. Na utapigwa tu
 
Kazi kubwa? Gaddafi alifanya kazi kubwa Libya kiasi cha wapenda bure kama wewe kunenepeana.
Lakini alipominya demokrasia na Uhuru wa watu wa Libya alikutwa mtaroni na vijiti wamemchomeka makalioni. Tuheshimu Uhuru wa watu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii barua ni mtego kwa malumumba yakiingia kichwakichwa yameliwa kichwa
 
Mungu awabariki mabeberu kwa kweli maana bila wao wakoloni weusi watatugeuza mishikaki usiku na mchana
 
Hicho ni kipeperushi tu kama vipeperushi vingine!
Wewe wanna huku waliopewa ujumbe huo wakikosa usingizi na ladha ya msosi!
Unauthibitisha unafiki mlio nao kwa viongozi wenu kujifanya mnawapigania, manawasifu na kuwapamba huku nyuma mkiwaambia "mtajibu" kimoyomoyo! Hivi, yakiwafika ya kuwafika utakuwa tayari kuwa sehemu ya maumivu na mateso atakayopitia kipindi hicho? Punguzeni unafiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…