Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.

Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.

Screenshot_20230120-154726_Instagram.jpg
 
Hiyo ni account ya US embassy kweli?? Au umeamua tu kusambaza umbeya wa hovyohovyo?

BTW, Wagner sio jeshi, ni mercenaries. Hata sheria za kulinda wafungwa wa kivita (PoW) haziwahusu, wakikamatwa front line ni risasi tu.
Verified account ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania
 
Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.

Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.

View attachment 2488873
Tumechokoza moto
 
Ulishawahi ona Tanzania anaongelea affairs za Kenya? **** ww
Nadhani kumbukumbu yako ina matatizo makubwa. Wakati wa mauaji yaliyofuatia uchaguzi mkuu wa Kenya, Tanzania iliingia kikamilifu, na Rais wetu wa wakati huo, Jakaya Kikwete ndiye aliyechukua jukumu kuu la kuwa mpatanishi.
 
Back
Top Bottom