shimboni mene
JF-Expert Member
- Sep 11, 2022
- 264
- 290
Wao wakapambane na hali zao, pamoja na masilaha yoote wanayorundika Ukraine na vikwazo lukuki lakini bado Putin ngangali.
Naona Olaf Shoz kasema Ujerumani haipeleki Vifaru vyake aina ya Leopard 2 mpaka na Marekani apeleke Abrahams-1..
Ahahahah yaani Poland imesema Ujeruman ikikataa wao watapeleka vifaru vyao viwili bila kusubili Ruhusa ya Ujeruman ambaye ndiye mtengenezaji na muuzaji wa silaha hii nzito katika uwanja wa medani.
Marekani imesema Ujeruman haina shukrani, yaani wao(wamarekani) wamepeleka kila aina ya silaha Ukraine ambazo zimeifanya Ujeruman iwe huru kukaa na vifaru vyake, sasa Leo hii hawaoni hilo?
Leo Mji wa Soleder ushatekwa na kijiji kimoja kimeangukia mikononi mwa majeshi ya Urus huku wakiusogelea Mji wa Bakhmut wenye kila aina ya utajiri wa madini!
Ikumbukwe kuwa mataifa 50 yanaisaidia Silaha Ukraine kupambana na Urus, huku leo mawaziri wa Ulinzi wa NATO wakikutana pale Ramstein kambi ya jeshi la anga la Marekani nchini Ujeruman kuona vipi waisaidie Ukraine haraka sana kabla ya Putin hajaanzisha tena vita mpya ya ardhini kutokea magharibi yaani kupitia mpaka wa Belarus majira ya kuchipua.