Waache umbeya wao habari za Urusi zinawahusu nini?
ask Yourself again and again, you donβt have conscienceWaache umbeya wao habari za Urusi zinawahusu nini?
Huwa wanatoaga nafasi kwa vijana wa mataifa mbalimbali kuajiriwa kwenye majeshi yao kwa mkataba. Haishangazi hiyo mkuu..naunga mkono hoja.
..kuna kijana wa Kitanzania ni askari ktk jeshi la Marekani lakini hakuna mtu amelalamika.
Crap from low mind.Waache umbeya wao habari za Urusi zinawahusu nini?
Mtu hawezi kukushangaa kama utamsaidia anayeonewa. Lakini unaonekana wa ajabu sawa na anayedhulumu, unapomsaidia anayedhulumu.Vp angekuwa anapgania upande wa Ukraine wangeuliza?
Usisemi sisi. Sema wewe. Wewe unadhani Watanzania wote hawana akili au ni makatili kama hao Warusi?Aaache maswali mwambieni na sisi tunaenda kujiunga na Wagner soon π π
Ni mtanzania au mwenye asili ya Tanzania? Huwezi kuajiriwa kama askari kwenye Jeshi lolote la Marekani kama siyo raia...naunga mkono hoja.
..kuna kijana wa Kitanzania ni askari ktk jeshi la Marekani lakini hakuna mtu amelalamika.
HahahaWaache umbeya wao habari za Urusi zinawahusu nini?
Aaache maswali mwambieni na sisi tunaenda kujiunga na Wagner soon π π
Verified account ya Ubalozi wa Marekani nchini TanzaniaHiyo ni account ya US embassy kweli?? Au umeamua tu kusambaza umbeya wa hovyohovyo?
BTW, Wagner sio jeshi, ni mercenaries. Hata sheria za kulinda wafungwa wa kivita (PoW) haziwahusu, wakikamatwa front line ni risasi tu.
"Sisi" inaanzai watu wawili kwaio acha kelele unajua mpango "wetu" huu tupo wangapi?Usisemi sisi. Sema wewe. Wewe unadhani Watanzania wote hawana akili au ni makatili kama hao Warusi?
Tumechokoza motoUbalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi.
Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
View attachment 2488873
Nadhani kumbukumbu yako ina matatizo makubwa. Wakati wa mauaji yaliyofuatia uchaguzi mkuu wa Kenya, Tanzania iliingia kikamilifu, na Rais wetu wa wakati huo, Jakaya Kikwete ndiye aliyechukua jukumu kuu la kuwa mpatanishi.Ulishawahi ona Tanzania anaongelea affairs za Kenya? **** ww