Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Ulitaka dreva na koda wake wafe usiwaone au unapowaona ndicho kipimo cha kujua corona haipo!!? Si ajabu na wewe ulifika japo O level
 
Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Ulitaka ufe wewe badala yake nchi inawatu milion 60 akifa mmoja nayo ni habari ya kujadili acheni hizo jamani . Toka asubuhi mpaka sasa hizzi usiku bodaboda zimeuwa wangapi na hamshangai mnakomalia vitu vya kijinga tu kisa wazungu wamepururuka wache wafe waliyataka wenyewe wakiamini wanatukomoa.
 
Serikali imeshindwa kudhibiti so kila mtu apambane kivyake. Wenye uwezo ndio hao wanafia Aghakan. Wenzangu na mm tuchukue tahadhari huku tukimuomba Mungu atuepushe na hili janga
 
China walifanya lockdown.
Tanzania??!!

Kwa hesabu za hivyo ndiyo maana wazungu walijua mpaka mwishoni mwa april maiti zitakuwa zimetapakaa mtaani Afrika. Wewe umeshakutana na maiti ngapi mtaani mpaka june hii?

Kuna factor nyingi sana za kuungua siyo linear equation hiyo. Ndiyo maana home kunaweza kuwa na mtu ana mafua mnatumia kikombe kimoja mnakunywa marudisha mtungini bila kuoshwa mwingine anatumia, lakini wengine wote hawaumwi mafua.
 
Safari hii naona balozi ameandika tahadhari yake kwa kuzingatia heshima. Hivyo ndio inavyotakiwa.
 
Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
Watalamu walishasema COVID itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama surua, HIV/AIDs, chicken pox, malaria na magonjwa mengine.
Hatuwezi kusimamisha shughuli zote kwa sababu ya ugonjwa ambao hatujui ukoje na lini utaisha.
Kuhusu kufa watu hawajaanza kufa leo
 
Kama hujui kitu kwa undani si uombe uambiwe? Yule kalazwa pale wiki 3 na ishu kubwa ilikuwa Corona. Pia familia yake yote iliugua na mkewe kalazwa.
Umeisha ambiwa death zinakuwa caused by underlining issues lakini wewe naona hutaki kuelewa
 
Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Wewe ni daktari wa pale? Kama ndiyo huna hata sifa ya kuitwa mganga wa kienyeji.

Kama siyo, nskuchukulia kama wapiga debe kwenye dala dala.

Hali ya Corona kwa mtu mwenye AKILI haihitaji hata kusubiri taarifa toka serikalini, watu wanafanya biashara then wewe bado unaleta habari za kihayawani !

Kuna watu mnatamani saana tufe ili mje mtukane sana mitandaoni, Mungu ni mwema siku zote, acha azidi kuwaumbua ninyi msio na jema, mkikalia hizo Ipad na tecno zenu mnaona dunia ni yenu hahhahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yako ina matatizo milioni kadhaa kuliko ya kwao.
Ndo uhamie huko Sasa, unasubiri nini ndg Mtakatifu?? Usiupe moyo shida na mikazo ya ajabu, acha kulalamika haimia huko huko kwenye utulivu,kusikokuwa na Corona.

Kwa akili kama zako eti bado m
Hadi leo mijitu inasifia Marekani licha ya unyanyasaji unaotokea pumbav kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui kitu kwa undani si uombe uambiwe? Yule kalazwa pale wiki 3 na ishu kubwa ilikuwa Corona. Pia familia yake yote iliugua na mkewe kalazwa.
Wewe ni mpumbavu wa kiwango cha Covid 19, aliyekuambia uweke ujinga wako kwa kutoa privacy za mtu ni nani? Hivi hata kama hukuenda shule unakosa kutumia hata akili za smartphone unayotumia???

Hebu wekeni siasa pembeni, si vizuri kabisa kutuma picha na kuchukulia misiba ya watu kwa sabab za kisiasa, unadiriki kuzungumzia binadamu mwenzako kuwa kafa na huna hata haya unatuma mtandaoni wakiona wanae? Ungekuwa wewe ungejisikiaje????


Acha upumbavu ndg, tumia hekima, acha kutaja familia za watu ambao hata huwajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wabariki mabeberu
 
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.

Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.

View attachment 1466746

Most governments around the world including US have stopped giving out aggregate number of cases or deaths for certain reasons.

We just have to carry on with norms.

However. Tanzania ministry of health issued travel advisory on 18th of May 2020 regarding travellors entering or leaving the country.
 
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.

Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.

View attachment 1466746
Baada ya kuitwa kwa Kaimu Balozi wa USA, ulikuwa unategemea nini ???
Maana kutokuwa muelewa napo ni tatizo, kilicho wazi ilibidi , arekebishe hiyo alert yao au tamko Lao ambalo halikufuata protocal.
Na jingine naona lugha pia ni kitu kigumu kwa wengi.
Wakati ule alitaka kuwaaminisha watu kwamba corona ipo na inakuwa kwa kasi , lakini sasa kwa ufupi kasema hakuna taarifa iliyotolewa na Tz toka tarehe 26/29 April hivyo hawawezi kuthibitisha hali ilivyo
Hivyo ametahadharisha endapo hali itakuwa mbaya hospital zetu haziwezi kukabiliana na hali hiyo kama ilivyokuwa hapo awali au tuseme siku za mwanzo.
Tofauti kabisa na kauli yake ya mwanzo kwamba hospitali zimezidiwa.

Nut akikuchukulia nguo zako chutama usimkimbize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…