Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Ulitaka dreva na koda wake wafe usiwaone au unapowaona ndicho kipimo cha kujua corona haipo!!? Si ajabu na wewe ulifika japo O levelHii corona ya ubalozi wa marekani isipotibiwa itakuwa tatizo,Mimi kila Mara nasafiri kwenye daladala ,na kati ya watu waliokatika risk ya kupata maambukizi ni makondakta na madereva wa daladala na mabasi ,chakushangaza ukipanda gari mwezi huu na mwezi ujao utakutana na dereva na kondakta yuleyule,hii inamaanisha kuwa korona haipo
Sasa hawa wamarekani wwnaolazimisha uwepo wa korona wanatutaka nini,serikali iwamulike hawa fedhuri
Sent using Jamii Forums mobile app