KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Niliona zile picha za wale wazee kule Dodoma. Nikawaza tu!Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliona zile picha za wale wazee kule Dodoma. Nikawaza tu!Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Si waende wakamalizane kwanza na kifo cha George Floyd na wahalikishe utulivu umerekea ndio walete hizo bla bla zaoWamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
View attachment 1466746
Mkuchika aliyekuwepo juzi kwenye uwekaji wa jiwe la msingi ikulu Chamwino au Mkuchika yupiPia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
Hii corona ya ubalozi wa marekani isipotibiwa itakuwa tatizo,Mimi kila Mara nasafiri kwenye daladala ,na kati ya watu waliokatika risk ya kupata maambukizi ni makondakta na madereva wa daladala na mabasi ,chakushangaza ukipanda gari mwezi huu na mwezi ujao utakutana na dereva na kondakta yuleyule,hii inamaanisha kuwa korona haipo
Sasa hawa wamarekani wwnaolazimisha uwepo wa korona wanatutaka nini,serikali iwamulike hawa fedhuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes hao ni watoto wake wa Kiume na Kike,na huyo mwingine ndio mke wake, Marehemu anaitwa Dunia James Mushi.Mkuu huyo binti wa upande wa kushoto wa huyo Mheshimiwa wa katikati ni mwanae?[emoji39]
Rest in Peace ndugu mmiliki wa Marangu Coach.
Achana na Bavicha. Shetani huwa anajifunza uongo mpya kwaoMkuchika aliyekuwepo juzi kwenye uwekaji wa jiwe la msingi ikulu Chamwino au Mkuchika yupi
Thubutuu.Safari hii balozi wao yule mjapani ataletwa na pingu mikononi
Wapambane na yaliyopo kwao!Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
View attachment 1466746
Mkuu umepaniniki au?Mtawafanya nini Wamarekani nyinyi Ccm!! Wakiamua hata kesho wana warestisha wote inpisi! Hao ndiyo Wababe wa dunia! Hivyo kuweni tu wapole. Mbona zile Bilioni zao za misaada huwa mnazipokea kwa mikono miwili huku mkiwa mmekenua mbele ya makamera!!
Nyinyi mtaishia tu kuwaonea Chadema na Waandishi wa Habari kama akina Eric Kabendera na Pascal Mayalla.
Umeuliza binti tu wengine ujaonaMkuu huyo binti wa upande wa kushoto wa huyo Mheshimiwa wa katikati ni mwanae?😋
Rest in Peace ndugu mmiliki wa Marangu Coach.
Hii ni kama foleni Tu mkuu, utajuaje kwamba anaefata ni weweMmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
Haya nikuulize swali simple tu, kama unawafahamu mke wake kwa sasa yuko wapi?maana naweza kuwa tunabishana huku hujui kitu chochote! Mimi nimekwambia kuwa pale Aghakan kalazwa kwa wiki takribani 3 na najua kila kitu sasa twende na hoja tuone nani anawafahamu zaidi.Mimi ninawafahamu. Achana nae huyo.
Mataga usipotaja ufipa kipele kinawasha.Ni mjinga tu ataamini habari za uwongo zinazopikwa pale ufipa
Naona ulivyo na furaha[emoji12]Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768
US inajali watu wao siku zote hamna cha kuwafanya kwenye Jambo la UhaiWamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.
Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
View attachment 1466746
R.I.P Classmate kama ni kweli!Mmiliki wa Marangu Coach huyo kavuta jana usiku,mkewe bado yupo kwenye Ventilator hapo hapo Aghakan.View attachment 1466768