Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

Pia mawaziri Mkuchika, Hussein Mwinyi na mke wa kigogo mmoja wanapambana na hali zao hukoo. Pia wanasahau kuwa Rwanda juzi imeripoti kifo cha kwanza cha COVID 19 na jamaa alikimbia kutoka Tanzania baada ya kukosa huduma hospitalini.
Mkuchika aliyekuwepo juzi kwenye uwekaji wa jiwe la msingi ikulu Chamwino au Mkuchika yupi
 
Hii corona ya ubalozi wa marekani isipotibiwa itakuwa tatizo,Mimi kila Mara nasafiri kwenye daladala ,na kati ya watu waliokatika risk ya kupata maambukizi ni makondakta na madereva wa daladala na mabasi ,chakushangaza ukipanda gari mwezi huu na mwezi ujao utakutana na dereva na kondakta yuleyule,hii inamaanisha kuwa korona haipo

Sasa hawa wamarekani wwnaolazimisha uwepo wa korona wanatutaka nini,serikali iwamulike hawa fedhuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtawafanya nini Wamarekani nyinyi Ccm!! Wakiamua hata kesho wana warestisha wote inpisi! Hao ndiyo Wababe wa dunia! Hivyo kuweni tu wapole. Mbona zile Bilioni zao za misaada huwa mnazipokea kwa mikono miwili huku mkiwa mmekenua mbele ya makamera!!

Nyinyi mtaishia tu kuwaonea Chadema na Waandishi wa Habari kama akina Eric Kabendera na Pascal Mayalla.
 
Mkuu umepaniniki au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe wanae tu mpaka atakubali mziki
IMG_20200529_155139.jpg
 
Mimi ninawafahamu. Achana nae huyo.
Haya nikuulize swali simple tu, kama unawafahamu mke wake kwa sasa yuko wapi?maana naweza kuwa tunabishana huku hujui kitu chochote! Mimi nimekwambia kuwa pale Aghakan kalazwa kwa wiki takribani 3 na najua kila kitu sasa twende na hoja tuone nani anawafahamu zaidi.
 
Ni mjinga tu ataamini habari za uwongo zinazopikwa pale ufipa
Mataga usipotaja ufipa kipele kinawasha.
Yani hata haviendani, ufipa na US Embassy wapi n wapi?.
Lazima wawaulize kwa sababu wanawalete vitu vingi misaada. Condoms. Mpaka m ARV mnazobugia mnazichukulia pale lugalo. Hadi chanjo wote zinatoka huko US.
 
Back
Top Bottom