Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

liki ya pichaAFP
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa tahadhari mpya ya afya na kusisitiza kuwa hatari ya maambukizi ya virusi vya corona bado ipo juu jijini Dar es Salaam.
Ubalozi wa Marekani waongo wakubwa. Watanzania tuna njia yetu rahisi ya kujua tatizo la corona ni kubwa kiasi gani hawawezi kutudanganya hawa watu wa ubalozi

Kujua kirahisi kama tatizo la corona Ni kubwa sana Dar es salaam au Tanzania jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo zako au yanapungua?

Hutakiwi kusema tu ohh serikali inaficha takwimu. Hakiki wewe mwenyewe kwenye ukoo wako; takwimu ambazo ni rahisi tu kuzipata sababu wewe ni sehemu ya wanaukoo.

Usilishwe takwimu hewa ya kufikirika za wazushi kama hawa wa ubalozi wa marekani wawe au wa vijiweni,wanasiasa au mitandaoni hakiki mwenyewe. Uzuri kwa sisi Waafrika tuna koo kubwa sana na ni rahisi kujua tatizo likitokea kubwa kwenye ukoo, taarifa ni rahisi kupata.

Marekani unaweza toa statement general kama ya huyo balozi wa marekani sababu kule
wanaishi maisha ya kujifungia kila mtu kivyake hakuna ,mtu hata jirani hamjuani kule rahisi kudanganya hata kusema ohh kwenye huu mtaa kuna watu kibao wanaumwa au wamekufa kwa corona sababu hakuna amjuaye jirani!!! Sio Tanzania au Dar es salaam

Huyu balozi muongo tena sana .Dar es salaam watanzania tunajuana mgonjwa akiugua mtaani mtaa mzima utajua au ndugu wote watajua au ukoo utajua

Hao walio na maambukizi makubwa dar es salaaam ni wafanyakazi wa ofisi ya ubalozi ambao ni wamarekani au wapi?

maisha yetu tunajuana hatuishi kama wamarekani huu uongo wake waletwe CIA au FBI waje wa verify kama huyu balozi hatatimuliwa kwa kutoa taarifa za uongo kwa wamarekani
 
Ni vizuri ukaficha ujinga wako , usifikiri kila kitu ni sawa na kuchoma mishikaki au kupiga polishi kweli ni huu

Baada ya kuitwa kwa Kaimu Balozi wa USA, ulikuwa unategemea nini ???
Maana kutokuwa muelewa napo ni tatizo, kilicho wazi ilibidi , arekebishe hiyo alert yao au tamko Lao ambalo halikufuata protocal.
Na jingine naona lugha pia ni kitu kigumu kwa wengi.
Wakati ule alitaka kuwaaminisha watu kwamba corona ipo na inakuwa kwa kasi , lakini sasa kwa ufupi kasema hakuna taarifa iliyotolewa na Tz toka tarehe 26/29 April hivyo hawawezi kuthibitisha hali ilivyo
Hivyo ametahadharisha endapo hali itakuwa mbaya hospital zetu haziwezi kukabiliana na hali hiyo kama ilivyokuwa hapo awali au tuseme siku za mwanzo.
Tofauti kabisa na kauli yake ya mwanzo kwamba hospitali zimezidiwa.
mbona umepanic????

hili tamko la USA ni lipya sio masahihisho ya tamko, tena ameongeza na nyama kabisa kuwa serikali inaficha taarifa.
 
Kwa haya maandamano ktk majimbo mengi US technically tunasema no lockdown au labda wataandamana na baadae wanajilockdown.😀😀😀😀😀
 
mbona umepanic????

hili tamko la USA ni lipya sio masahihisho ya tamko, tena ameongeza na nyama kabisa kuwa serikali inaficha taarifa.
U ought to be out of You brain , what u ought to read in between the line and timing is to address those anomalies and become relevant to the actual or current situation .
Nilisha kwambia mtu akichukua nguo zako ukabaki uchi chutama, ndio position aliochukuwa Balozi na sio kumkimbiza mtu aliyechukua nguo zake.
 
hawa dawa yao tuwaambie osama kaonekana mbeya - tanzania 🤣 🤣
 
U ought to be out of You brain , what u ought to read in between the line and timing is to address those anomalies and become relevant to the actual or current situation .
Nilisha kwambia mtu akichukua nguo zako ukabaki uchi chutama, ndio position aliochukuwa Balozi na sio kumkimbiza mtu aliyechukua nguo zake.
punguza jazba.
 
ubalozi wa marekani Tanzania unajua kuwa nchini kwao kuna MAANDAMANO?
 
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.

Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.

View attachment 1466746
Pale Aghakan leo pametoa maiti moja ya mtu mashuhuri ya COVID 19. Nyie endeleeni kudanganyana.
Kama wewe na familia yako hamjaambukizwa au kupata vifo kwenye ukoo wenu, vivyo hivyo WaTz wengine nao wako hivyo.

Kuendelea kushabikia kutaka Serikali itoe takwimu za maambukizi ni kama unaomba dua WaTz wafe ili lengo lako litimie, siyo. Nami nakuombea upate wewe kwanza maambukizo.
 
Ubalozi wa Marekani waongo wakubwa. Watanzania tuna njia yetu rahisi ya kujua tatizo la corona ni kubwa kiasi gani hawawezi kutudanganya hawa watu wa ubalozi

Kujua kirahisi kama tatizo la corona Ni kubwa sana Dar es salaam au Tanzania jiulize kwenye ukoo wako upande wa baba yako na mama yako na mke au mume wangapi wameugua ugonjwa wa corona, wangapi wamekufa kwa corona, wangapi bado wanatibiwa corona na je maambukizi ya corona yanaongezeka kwenye hizo koo zako au yanapungua?

Hutakiwi kusema tu ohh serikali inaficha takwimu. Hakiki wewe mwenyewe kwenye ukoo wako; takwimu ambazo ni rahisi tu kuzipata sababu wewe ni sehemu ya wanaukoo.

Usilishwe takwimu hewa ya kufikirika za wazushi kama hawa wa ubalozi wa marekani wawe au wa vijiweni,wanasiasa au mitandaoni hakiki mwenyewe. Uzuri kwa sisi Waafrika tuna koo kubwa sana na ni rahisi kujua tatizo likitokea kubwa kwenye ukoo, taarifa ni rahisi kupata.

Marekani unaweza toa statement general kama ya huyo balozi wa marekani sababu kule
wanaishi maisha ya kujifungia kila mtu kivyake hakuna ,mtu hata jirani hamjuani kule rahisi kudanganya hata kusema ohh kwenye huu mtaa kuna watu kibao wanaumwa au wamekufa kwa corona sababu hakuna amjuaye jirani!!! Sio Tanzania au Dar es salaam

Huyu balozi muongo tena sana .Dar es salaam watanzania tunajuana mgonjwa akiugua mtaani mtaa mzima utajua au ndugu wote watajua au ukoo utajua

Hao walio na maambukizi makubwa dar es salaaam ni wafanyakazi wa ofisi ya ubalozi ambao ni wamarekani au wapi?

maisha yetu tunajuana hatuishi kama wamarekani huu uongo wake waletwe CIA au FBI waje wa verify kama huyu balozi hatatimuliwa kwa kutoa taarifa za uongo kwa wamarekani
Isitoshe kwa mila na desturi zetu hata ushauri wa kinga dhidi ya maambukizi km kutokushikana mikono au kukumbatiana, ambazo ni kawaida kwetu tunaposalimiana, imekuwa shida kuziacha. Hata vile bado maambukizi siyo kama vile watakavyo vuvuzela wa takwimu.
 
Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena.

Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.

View attachment 1466746
Tabia ya uongo na kuficha mambo imeumbiwa ngozi nyeusi, hibadiliki hata upige mkrogo.
Walikwa wanapika takwimu za TRA, leo siwaikii na zile mbwembwe zao za sijui tumevuka lengo.
Waikuwa wanapika habari ya uchumi, leo siwasikii tena.
Walikuwa wanapika habar za Covid, leo wanatuambiwa wamebaki wanne tu, wakati kwa siku sijui madereva 10 wanarudishwa huko mpakani kwenya
 
Wakati ule takwimu zilipokuwa zinatangazwa walikuwa wanasema ni za uwongo,ila hata hivo baada ya tar 29 april mbona Magufuli alisema takwimu kanisani na Majaliwa alisema msikitini ,na wakaendelea kusema kwenye mikutano yao,ubalozi wa marekani umeamua tu kuchafua Tanzania kwenye macho ya mataifa mengine
 
Covid-19 is alive and well and is still operating in Tanzania contrary to what the government wants the world to believe.

When they summoned the Acting Ambassador of US I think she told them what they didn't like to hear concerning the state of the pandemic in the country.
 
Back
Top Bottom