OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wabakinazo tu, wajinga haoPamoja na kwamba wametoa mzigo huo ili kuboresha sekta ya afya na elimu ila naona wamekuja kishari shari na kidongo dongo hivi kwa kina fulani.
View attachment 1599479
What are donating to the world?wasitutishe tupo vizuri sisi ni donor country
Kawaulize wamarekani kwanza ndipo uje hapa.Kwani hivyo vitu vya kimaendeleo vinajengwa kwaajili ya ndege na wanyama au!??
Hahaha wabomoe magorofa na matren huko kwao, ndo tuone wako siliazUbalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.
Ubalozi huo umeyasisitiza hayo kwa kuweka nukuu ifuatayo:
View attachment 1599440View attachment 1599441
Mungu mbariki Mwalimu Nyerere,Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki USA
kwani wewe unaposikia maendeleo ya watu unaelewa nini? usijekuwa US inakuunga mkono ila kwa kuwa uelewa wako ni mdogo basi unawaka. maana nyie CCM kwa kunishtukia.Kwani hivyo vitu vya kimaendeleo vinajengwa kwaajili ya ndege na wanyama au!??
Kama Unajenga vituo vya Afya kwa wingi, unaboresha mahospitali, Unajenga miundombinu ya barabara reli na anga, Unajenga shule, kujenga na kuboresha mifumo ya usambazaji umeme na vngne kedekede,,,, Je hivi vitu vyote si vinagusa maisha ya wananchi kwa namna moja au nyingne na kuleta unafuu mkubwa ktk maisha yetu.
Hawa hawa Wamarekani kupitia USaid si wana TANGAZO lao lina trend kwenye media kuhusu kampeni ya mwanamke apatapo ujauzito awahi clinic,,,, sasa kama hakuna uboreshaji wa vituo vya Afya maeneo mbalimbali nchini hao wanawake wakahudhuria clinic za New York au!????
Nawasihi Watanzania wenzangu, Mungu katupa akili na ufahamu,,, tusitetereke
Mungu ibariki Tz
Alafu ARV utanunua wew et!??Wabakinazo tu, wajinga hao