Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Nyerere alikuwa mjamaa ila alikuwa haogopi kupambana na hao mabeberu kwa hoja.Ubalozi wa Marekani umeungana na Watanzania wote katika kumkumbuka ya kumuenzi Baba wa Taifa.
Kwenye statement waliyoitoa hivi leo tarehe 14/10/2020 ubalozi huo umesisitiza kuwa Kwa karibu miaka 60 Mwalimu alituelezea imani yake kuwa maendeleo endelevu yanamaanisha kuwekeza katika watu.
Ubalozi huo umeyasisitiza hayo kwa kuweka nukuu ifuatayo:
View attachment 1599440View attachment 1599441
Mungu mbariki Mwalimu Nyerere,Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki USA
Ndio maana wanamheshimu mpaka leo.