Ubalozi wa Marekani wamkumbuka Mwl. Nyerere. Wasema "maendeleo ni watu sio vitu"

Maendeleo gani makubwa walioyaleta wazungu kwa wafrika hasa wakati wa ukoloni? Yataje tafadhali!
 
Si mkalime
Mvua imenyesha mfurulizo kwa miaka mitano na bado unulia njia.acha uvivu.kalime,kafuge.nk.ukitaka JPM akulishe kama makinda?
Kilimo kingekuwa kinalipa Boda boda na machinga wasingejazana mijini ndugu
 
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I fully agree with you...Tanzania is for Tanzanians there is no way we will let these imperialists to take our natural resources because of some puppets who are power mongers.

Let us vote for Magufuli the truelly son of Africa on October 28th and say no to the greedy people.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Unaijua Abraham Maslow theory of motivation ?? So don't take it that Mimi nina furahia mtu anapoonewa, lakini katika ku address maendeleo ya mtu utaanza na vitu vitakavyo muwezesha ku build up his/her personal development , na hiyo democracy ni ya mwisho ndio unaweza kusema ndio self actualization.
Sasa mtu akiwa haelewi hii , hawezi kuelewa tunataka wapi tunakwenda wapi.
Na hata hao waanzilishi au wanaopigia chapuo democracy iliyofikia self actualization walianza wapi ?? Uingereza au ma Land Lord ilikuwa ni barbarism, huko kwao ndio kuja colonisation, slavery etc etc , USA the same , sasa a
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Abraham Maslow na Gwajima wapi na wapi, wewe inaonekana ulikuwa copycat special maana inaonekana ulikuwa una copy hata jina la mtu unaye mcopy
 
Abraham Maslow na Gwajima wapi na wapi, wewe inaonekana ulikuwa copycat special maana inaonekana ulikuwa una copy hata jina la mtu unaye mcopy
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maendeleo gani makubwa walioyaleta wazungu kwa wafrika hasa wakati wa ukoloni? Yataje tafadhali!
Mkoloni aliwajengea reli (dar to mnz, kgm mpanda)shule (old moshi, St Mary (Tbr B), Iyunga, St Francis - Pugu , Alliance Dodoma, n.k) bandari (kigoma, Mwanza, Kemondo, Dsm, Mtwara) barabara Dsm to Moro,. Ar to Moshi etc. Kipi ambacho mkoloni hakufanya?
 
Ana pepo baya sana huyu mtu. Akaoge na maji ya bahari
 
Hivi chama mboga mboga wanamuenzi Nyerere huyu huyu anayeenziwa na wengine?

Pana hatari kuwa hawa wenzetu wana wao tofauti na huyu ambaye wengine wanamwongelea kila uchao.
 
Maendeleo gani makubwa walioyaleta wazungu kwa wafrika hasa wakati wa ukoloni? Yataje tafadhali!
South tu hapo mzungu kajenga mijinga ya ANC kama CCM inaharibu kila kitu. Sijui mliwaambukiza ujinga ANC maana huwa mnasema ni jamaa zenu
 
Unamaanisha Maslow yule Beberu? Umetumwa wewe siyo bure
 
Waache unafiki. Wao wamejjijenga vizuri kwa hayohayo mavitu mpka Leo wanaendelea kujijenga. Kutwa wanawapa changamoto China ili isiendelee ikawazidi. Leo hii wako bize eti ' maendeleo ni watu ’ wasiwadanganye viongozi wetu wakawa mabwege kama ilivyo tegemeo lao ili lengo walilonalo litimie.
 
Hujui matokeo ya SGR katika uchumi wa Tanzania, huwezi kutambua matokeo ya Bwawa la Umeme Julius nyerere? Kama huwezi kutambua hayo inakubidi urudi shule ukajifunze upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…