Kabla hawajatoa kauli serikali ilishatoa kauli yake. Au hukuisikia🙄Kwa kauli zako hapo juu tayari wewe ni mjuaji labda kama hujui maana ya ujuaji. Ubalozi umetoa tahadhari kwa watu wao, wewe kwa ujuaji wako unajifanya kukosoa andiko lisilokuhusu. Wewe endelea na kazi kama unavyojigamba na hutishwi na chochote.
Bila wazungu hata JF isingekuwepo acha waseme ukweli.Wamekupa nini hadi unawa-asante[emoji23][emoji23][emoji23]
Au corona!
Jambo jema kivipi mkuu? Huoni wanaingilia mambo yetu ya ndani ilihali kwao ndio moto unawaka zaidi?Ni jambo jema!
Jishaue tu, unadhani kila kitu kinahitaji propaganda za kisiasa, iko siku mtavuna mnachopanda.Naandika nikiwa hospitali nauguza.... kama wewe unaweza kuzuia corona Mungu aendelee kukupigania.
Hakuna anayefurahia magonjwa na vifo, na hakuna anayefurahi au anayeweza kukimbia kifo pia
Mbona watu wakitoa tahadhari ya corona mnawazodoa, mnapata faida gani?Naandika nikiwa hospitali nauguza.... kama wewe unaweza kuzuia corona Mungu aendelee kukupigania.
Hakuna anayefurahia magonjwa na vifo, na hakuna anayefurahi au anayeweza kukimbia kifo pia
Kutoa tahadhari ni jambo jema bwashee!Jambo jema kivipi mkuu? Huoni wanaingilia mambo yetu ya ndani ilihali kwao ndio moto unawaka zaidi?
Hizi takwimu wanazotaka zinawasaidia nini?Kutoa tahadhari ni jambo jema bwashee!
Wewe hujioni unavyojishaulia kwenye ubalozi wa Marekani!? Sijui unahamia lini America😂😂😂Jishaue tu, unadhani kila kitu kinahitaji propaganda za kisiasa, iko siku mtavuna mnachopanda.
Nenda marekani hakuna korona wameisha ishinda wao huko.Sijui unaandika haya ukiwa wapi, inawezekana umejifungia ndani hujui chochote kinachotokea mtaa wa pili, kwa taarifa yako mkiendekeza hizi taarabu Corona itapokuja kupiga hapo sebleni kwako ndio utapata akili, now unaisikia kwa majirani ndio maana unaleta utani, na usiombe iwatembelee ndani kwasababu haiondoki na mmoja.
Muhimu ni tahadhari bwashee!Hizi takwimu wanazotaka zinawasaidia nini?
Analeta Habari za kimbea mbea ndo mana anakosea herufi.Ualozi& taadhari.
Improve your language brother.
Baba mwenye nyumba yeye anasepa kivyake ili mradi mlipe kodi.Beberu linaonesha kutujali zaidi ya Baba mwenye nyumba!
Kwako wewe unaona ni mbaya?Hii ni habari nzuri kwa yule wa ubelgiji
Huyo atakuwa amechoka kuishi kama shetani sasa anatafuta nafasi awahi kwa muumbaCorona inaua sio utani, rafiki kafariki tumemzika mchana, kaanza kuumwa asubuhi shida kupumua mchana kafariki saa tisa tumetoka kumzika, nilivyoona ile misafara ya Coaster inayosindikiza marehemu wao mikoani sina hamu kabisa.
Kama mpaka sasa bado kuna mtu asieamini Tanzania kuna Corona Mungu amrehemu.
Ukiambiwa kuwa njaa imekupanda kichwani unarusha ngumi hewaniHebu watupumzishe! Wameshindwa kuzuia vifo100 vya kupigwa risasi kila siku halafu hapa wanataka kutuongopea wanajali uhai wetuwetu.
Tuko zetu busy na kazi huku tukichukua tahadhari na kumwomba Mungu sana.
Zile chanjo za kuigiza wanachoma sindano kumbe mbwembwe tu.Waanze kutupatia matokeo ya chanjo kule Marekani tujue je wale waliopatiwa maambukizi kwao yamekoma?