Nyinyi mnatuambia kuwa hakuna corona,mnawaambia watu wasivae barakoa.Sijawahi kuidharau corona.
Nachukua tahadhari, nafanya kazi, nakula vinavyoshauriwa na namwomba Mungu pamoja na kukuombea wewe mwenye mawazo mabaya juu ya wengine
Utachukuaje tahadhali wakati mnasema hakuna tishio la corona?Tuchukue tahadhari, tufanye kazi, tule inavyoshauriwa, na tumwombe Mungu sana[emoji120]
Na tuache kutakiana mabaya sababu hakuna mwenye nguvu ZA kukimbia kifo
Aisee hujui kazi ya takwimuHizi takwimu wanazotaka zinawasaidia nini?
Hawa uzi unawahusu au[emoji28]? Umesahau yehodayaCC:Wakudadavua
CC:kipara kipya
Nani kakuwmbia hayo? Sikia kauli ya serikali halafu ukumbuke wewe ni mtu wa kwanza kuwajibika kutunza afya yako.Nyinyi mnatuambia kuwa hakuna corona,mnawaambia watu wasivae barakoa.
Mungu anawona na ipo siku lazima mtalipa kwa mnayo wafanyia watanzania.
Serikali ipo sahihi maana kama serikali ikitoa takwimu kuna watakaokufa kwa hofu.Aisee hujui kazi ya takwimu
Hivi m America akuonee wivu kwa lipi ?!.Wanatuonea wivu kwa kuwa Tanzania hatujafunga uchumi wetu
Lazima akuonee wivu maana anategemea uendelee kumtegemea ili akikohoa tu uvue chupiHivi m America akuonee wivu kwa lipi ?!.
Umasikini
Ujinga
Udictator
Au lipi hasa ?!
Propaganda za ki communist haziwezi kututoa mrisi [emoji107]
Watu masikini wa kutupwa mnataka kujilinganisha na wafadhili wenu?Hawa wajapani na wenzao wa EU na USA wangefanya hivyo kule corona ilikoanzia, wakashughulika walau na wale waliohisiwa kuitengeneza, wakatupatia measures walizotumia kupambana na corona zikaonyesha mafanikio kwa nchi zao, wakatuletea watu waliopatiwa chanjo na kuonyesha ni kwa kiasi gani hawawezi tena pata maambukizi tungewaelewa sana
Vinginevyo watakua wanapiga kelele tuu na watasikilizwa na wanaotaka kelele zisizo na suluhu
Akisema una bahati ya mtendeUnaguza mgonjwa wa nini?
Sasa kama hamuwategemei hayo madeni yalioongezeka awamu hii kuliko awamu yoyote. Yametoka wapi na kwa nani ?!.Lazima akuonee wivu maana anategemea uendelee kumtegemea ili akikohoa tu uvue chupi
Mimi kwakuwa naheshimu maaagizo ya wataalam,navaa barakoa,naheshimu social distance, nanawa mikono, natumia sanitizer pale inapo bidi.Tuambie hadi sasa umefanya nini kinachowatofautisha hao wakahidi na wewe[emoji849]
Asante sana mkuuHawa uzi unawahusu au[emoji28]? Umesahau yehodaya
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Hela tunazochukua huko ni asilimia ndogo sana ya utajiri wetu waliochukua.Sasa kama hamuwategemei hayo madeni yalioongezeka awamu hii kuliko awamu yoyote. Yametoka wapi na kwa nani ?!.
U communist unaliangamiza taifa hili . Propaganda za ki jinga kabisa
Mimi siyo kichaa kama nyinyiNani kakuwmbia hayo? Sikia kauli ya serikali halafu ukumbuke wewe ni mtu wa kwanza kuwajibika kutunza afya yako.
Acha kudeka, wote tunatakiwa tuchukue tahadhari, tufanye kazi, tule inavyoshauriwa, na tumwombe Mungu sana[emoji120]
Timiza wajibu wako na usisahau kwamba Mungu pia hufanya kadri ya mapenzi yake