Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
2,053
Reaction score
3,586
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.


NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?

Kuna mengi tunafichwa.

Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI?
 
Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
Mkuu mbona kama ugomvi fulani?

Ukiweka thread epuka sana mihemuko na kumjibu kila anaeichakata. Ni sawa na kuozesha binti yako halafu unaenda kwenye dirisha la mkweo kusikiliza wanafanya nini?

Weka thread tulia watu waichakate.
Mkuu tulia hii nchi yetu sote
 
Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Ahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao. Ni jukumu la kibalozi kuwashauri na kuwatahadharisha wananchi wao waliopo au wanaotaka kutembea katika nchi ambayo Balozi mhusika amewekwa. Tafauti na balozi zetu za Tanzania ambazo tuna maofisa wanaojiona na kudharau watanzania wanaofika katika balozi hizo kutaka muongozi au msaada wowote ule.
 
ahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao....
Hekima yako ni kubwa sana
Unajua kushauri na kuelekeza
Mi nimechangia na nimetimiza slogan ya jukwaa hili'where we dare to speak openly'
 
ahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao. Ni jukumu la kibalozi kuwashauri na kuwatahadharisha wananchi wao waliopo au wanaotaka kutembea katika nchi ambayo Balozi mhusika amewekwa. Tafauti na balozi zetu za Tanzania ambazo tuna maofisa wanaojiona na kudharau watanzania wanaofika katika balozi hizo kutaka muongozi au msaada wowote ule.
Hawezi ielewa
 
Mungu tusaidie wengine tuna ndugu, jamaa na marafiki huko Mtwara.
 
Back
Top Bottom