Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?
Kuna mengi tunafichwa.
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI?
Wewe naye ndio wale wale mnaoamini kwamba Mzungu ni Mungu. Marekani hawa hawa wanaoibia a kura ndio watueleze habari za Mtwara! Be serious brother.
Hao Marekani tunapaswa kuwakemea kwamba Intelejensia yao Ijikite Marekani kupambana na MAUAJI YA WATU WEUSI/BLACK LIVES MATTER kuliko kujikita MTWARA ambako hapawausu kabisa.
Mbaya zaidi huwa wakiitabiria Tanzania Upuuuzi utaskia Raia wamechapwa Kwingineeeeee tofauti na Walipotabiri wao