Kutoa tahadhari na kutokea hatare ni mambo mawili tofauti
Hii Nchi ipo chini ya Ulinzi wa Mwenyezimungu, hakuna kiumbe wa kututisha
Walishatoa tahadhari Raia wao waondoke na walio nje wasije kwa kuwa sie tumeshatapakaa Corona, sasa hao wanaowatahadharisha ni wepi waliobaki?

Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.