Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I doesn't matter kama serikali imetoa tamko au haikutoa tamko. Balozi za nchi za nje hawatowi tahadhari kwa wananchi wao kutegemea na tamko la serikali bali ni kutegemea na namna wanavyoona wao wenyewe kutokana na hali ilivyo sehemu fulani. Ndio maana kuna tahadhari ya kuingia tanzania kwa sababu ya corona ingawa serikali ya tanzania inasema nchi haina corona.Mbona Serikali yetu haitoi tamko kuhusu hali ilivyo huko Mtwara?.
Hata akisoma hiyo lugha ataielewa mkuu?? Yeye amedandia treni kwa mbele tuu baada ya kuona heading...Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
Imeandikwa kiingereza mkuu bila tafsiri. Nawasubiri wale wa HKL waje kutafsiri ili wote tuielewe taarifa.Ahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao. Ni jukumu la kibalozi kuwashauri na kuwatahadharisha wananchi wao waliopo au wanaotaka kutembea katika nchi ambayo Balozi mhusika amewekwa. Tafauti na balozi zetu za Tanzania ambazo tuna maofisa wanaojiona na kudharau watanzania wanaofika katika balozi hizo kutaka muongozi au msaada wowote ule.
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?
Kuna mengi tunafichwa.
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI?
Thubutu show tu Kama za Zuchu zile kaka.Wale jamaa wanaobeba mabeg makubwa mgongoni.ai mngewapeleka huko.
Au zikitoka takwimu za kuibeba nji shirika lililotoa takwimu linatajwa kwa heshima zote, takwimu zikiwa kinyume chake Wanajumuishwa Wazungu wote wanaitwa Mabeberu.Wataitwa mabeberu lakini wakitoa ARV wanakuwa wahisani
Wananchi tupo wa aina mbalimbali. Unaweza kutoa tahadhari ukasababisha taharuki ya hali ya juu ambayo italeta madhara zaidi. Kuna watu ni bora wasijue nini kinaendelea maana wanaweza kuongeza na kusambaza ambayo hayapo ikawa hatari zaidi.Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?
Kuna mengi tunafichwa.
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI?
Dallas!!Mimi sipo Tz ndio maana nakuuliza unazungumzia Marekani ipi hiyo?
Wewe nakuomba msikilize Kamanda Siro ndiyo IGP wa Tanzania,huyo Balozi wa USA hapa Tz analindwa pia na Siro, au hujuwi!!Ukisema hivi inamaana Serikali yetu isifanye lolote kuhusu hali ya usalama huko Mtwara
Kama kweli hao wa Marekani wako wanaona Tanzania si salama kwao,washauri wafunge na huo Ubalozi wao Kama wanajeuri hiyo!!Mkuu umelisoma tangazo kweli? Hajakwambia wewe Mataga, ni tahadhali kwa raia wa Marekani so wewe endelea na mishe zako
Kweli watu Weusi mmelogwa na Wazungu! Yaani Mimi Mweusi mwenzio niko Mtwara nakula life,eti huniamini,unamuamini yule Balozi anae ishi pale Drive inn Msasani,ambae hata Mtwara hajawai kufika!!Lack of information
Maisha ni kuwa na habari na taarifa kamili kwa wakati
Kama huna taarifa kaa kimya
Kama una taarifa isiyokamili lala
Unapafahamu kitai?Nipo Mtwara miezi 10 sasa sioni hiyo hali inayosemwa na watu sisi kukuza mambo bana
Karibuni wadau.
Wwe Chase amante ndiyo mpuuzi na Mjinga no moja na huo Ubalozi wako wa Marekani,wote hamna akili! Hapo ulipo unatamba hadi unapata muda wa kuandika humu inamaana Nchi iko Salamaa shukuru Mungu hata kwa hilo!!Kwenye hili naona, magufuli kawa mzembe.
Linapokuja suala la usalama wa mtanzania, siasa zikae pembeni.
Igp sirro ni Mpuuzi tu, mshenzi
Umbea usio na Maana kabisa na unaingilia utawala wa ndaniKupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu?
Kuna mengi tunafichwa.
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI?
ChaiDallas!!
Sasa Chai kivipi na News zinaonesha!? Au unazani Marekani ni Mbinguni hayo ya fujo hayawezi tokea!? Achaa Mara moja kuuabudu Wazungu,nao pia wanaenda chooni Kama wwe!!Chai
Mkuu mbona unateseka kwa mambo yasiyo kuhusu? Wafunge wasifunge ni juu yao na wewe hilo halikuhusu, wao kuona ni salama au siyo salama hawakuambii wewe, so wewe subiri taarifa ya IGP wenu. Taarifa ya ubalozi wa Marekani siyo yako. PatheticKama kweli hao wa Marekani wako wanaona Tanzania si salama kwao,washauri wafunge na huo Ubalozi wao Kama wanajeuri hiyo!!
Sasa huo Ubalozi wako wa Marekani ndiyo unalinda mipaka yetu!? Unaacha kuwasikiliza watu tuliowapa dhamana ya Kulinda Nchi hii,wwe akisema Mzungu tu umeshakubali haraka!Mkuu mbona unateseka kwa mambo yasiyo kuhusu? Wafunge wasifunge ni juu yao na wewe hilo halikuhusu, wao kuona ni salama au siyo salama hawakuambii wewe, so wewe subiri taarifa ya IGP wenu. Taarifa ya ubalozi wa Marekani siyo yako. Pathetic