Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mimi sipo Tz ndio maana nakuuliza unazungumzia Marekani ipi hiyo?Wwe endelea kulala,huna connection,si ndiyo mmefunguliwa Sasa hivi na TCRA!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sipo Tz ndio maana nakuuliza unazungumzia Marekani ipi hiyo?Wwe endelea kulala,huna connection,si ndiyo mmefunguliwa Sasa hivi na TCRA!?
Ubalozi wa Marekani una wajibu wa kuwaarifu Wamarekani kuhusu hali inayoweza kuathiri usalama wao popote duniani.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama.
Wao waache kwenda sisi hatuwezi kuwatenga Ndugu zetu wa MtwaraUmesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
Nchi yetu imekuwa kama Somalia au Burundi siku hizi.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama.
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu??
Kuna mengi tunafichwa
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI??
Mbona wako huko lakini wanazikwa kila siku. Usicheze na gaidiWale jamaa wanaobeba mabeg makubwa mgongoni.ai mngewapeleka huko.
Ana wenge huyo....mwambie anywe pepsi atalipiwaaaUnaendeleza mkurupuko, Mimi siyo mwenye thread mkuu.
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu??
Kuna mengi tunafichwa
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI??
Wamewataarisha raia wao tu...ndio maana wameweka ktk website yao. Km wewe sio raia wao unaa chana nayo hiyo habari.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama.
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.
NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu??
Kuna mengi tunafichwa
Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI??
🤣😂Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
Anayeishi Mtwara afanyaje?Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
Kwani haujui kuwa nchi ni huru ila wewe hauko huru?Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama.
Huwa wanatoa angalizo kuwalinda raia wao walio katika nchi husika.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama.
Mbona Serikali yetu haitoi tamko kuhusu hali ilivyo huko Mtwara?.Ahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao. Ni jukumu la kibalozi kuwashauri na kuwatahadharisha wananchi wao waliopo au wanaotaka kutembea katika nchi ambayo Balozi mhusika amewekwa. Tafauti na balozi zetu za Tanzania ambazo tuna maofisa wanaojiona na kudharau watanzania wanaofika katika balozi hizo kutaka muongozi au msaada wowote ule.