Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari kusafiri kwenda Mtwara

Tahadhari hii ili tolewa vile vile Masaki, Dar es Salaam. Au ya Masaki imekwisha ondolewa. Mambo ya mahangaiko ya kisiasa tuu.
 
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.

NB
Kwa nini serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu??
Kuna mengi tunafichwa

Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI??
Marekani kwenyewe hali tete Wazungu kibao wamesha nunua silahaa wameziweka majumbani wanasikilizia mwisho itakuwaje na huo Uchaguzi wao!! Trump hakubali Matokeo!!
 
Ukisema hivi inamaana Serikali yetu isifanye lolote kuhusu hali ya usalama huko Mtwara
 
Mambo huko kusini sio mazuri, japo nimemsikia jamaa akivisifia sana vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinafanya kazi vizuri.

Anyway, kama amedanganya kuhusu "ushindi wa kishindo" walioupata, kwanini asidanganye na hili?!
Kazi nzuri anayoizungumza ni kusaidia kupora kura za wananchi.
 
Unaonekana hujui kitu na akili yako bado sana sana.
Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama.
 
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.

NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu??
Kuna mengi tunafichwa

Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI??

Wataitwa mabeberu lakini wakitoa ARV wanakuwa wahisani
 
Marekani kwenyewe hali tete Wazungu kibao wamesha nunua silahaa wameziweka majumbani wanasikilizia mwisho itakuwaje na huo Uchaguzi wao!! Trump hakubali Matokeo!!
Marekani ipi hiyo unayozungumzia?!
 
Kupitia akaunti yao ya tweeter marekani wametoa tahadhari kuhusu usalama katika mkoa wa Mtwara.

NB
Kwanini Serikali yetu ya Tanzania haijatoa tahadhari wakati serikali ya Marekani wanatoa tahadhari kuhusu usalama wetu??
Kuna mengi tunafichwa

Na kwa mwenye kufikiria atatambua kwa nini Rais Magufuli HAKUFANYA KAMPENI KUSINI??

Huyu mzee hivi hatuwezi kumfukuza ameanza kukiuka maadili ya kazi yake.
 
Ukisema hivi inamaana Serikali yetu isifanye lolote kuhusu hali ya usalama huko Mtwara
Mi niko Mtwara mbona niko poa na watu kibao wanaendelea na mishe zao Kama kawa! Acha kuwasikiliza Mabeberu,au humwamini Kamanda Siro!? Wwe unamwamini Balozi wa USA kisa una ndoto za kwenda kuishi huko Marekani!!
 
Yale mabasi ya Buti la Zungu, Baraka classic, King Yasin, Manning nice, Mashallah, WiFi coach, Navil express,Ibra express,na Yale mabasi yanayoenda Newala, watembee na askari full silaha,sivyo tutakuja kujuta.
 
Back
Top Bottom