Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Mkuu mbona kama ugomvi fulani?Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.
We nenda Mtwara. USA wametoa tahadhari kwa raia wake.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Unaendeleza mkurupuko, Mimi siyo mwenye thread mkuu.Mkuu mbona kama ugomvi fulani?
Ukiweka thread epuka sana mihemuko na kumjibu kila anaeichakata
Ni sawa umeozesha binti halafu unaenda kwenye dirisha ya mkweo kusikiliza wanafanya nini?
Weka thread tulia watu waichakate.
Mkuu tulia hii nchi yetu sote
Ni jukumu la ubalozi wa Marekani kumtahadharisha raiya wa Marekani dhidi ya watu wanavyokatwa vichwa huko Mtwara.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Ahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao. Ni jukumu la kibalozi kuwashauri na kuwatahadharisha wananchi wao waliopo au wanaotaka kutembea katika nchi ambayo Balozi mhusika amewekwa. Tafauti na balozi zetu za Tanzania ambazo tuna maofisa wanaojiona na kudharau watanzania wanaofika katika balozi hizo kutaka muongozi au msaada wowote ule.Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Hekima yako ni kubwa sanaahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao....
Wanawaonya Raia wao wasiende Mtwara, sasa we kinakuuma nini hapo?Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Kwani kuna tatizo gani wakiwapa tahadhari raia wao?Sasa ubalozi wa Marekani kwanini uzungumzie mambo ya Jamuhuri huru ya Muungano ya Tanzania?
Hapo nao wanaanza kukwama
Wale jamaa wanaobeba mabeg makubwa mgongoni.ai mngewapeleka huko.
Hawezi ielewaahhhh dah! umesoma lakini hiyo tweeter? Balozi wa Marekani anawatahadharisha wamarekani kutoenda sehemu fulani, hii ni moja ya majukumu yao. Ni jukumu la kibalozi kuwashauri na kuwatahadharisha wananchi wao waliopo au wanaotaka kutembea katika nchi ambayo Balozi mhusika amewekwa. Tafauti na balozi zetu za Tanzania ambazo tuna maofisa wanaojiona na kudharau watanzania wanaofika katika balozi hizo kutaka muongozi au msaada wowote ule.
Sasa nani humu ni raia wa Marekani?Umesoma hata hilo tangazo lenyewe au unabwabwaja tu? Wametahadharisha raia wao kwenda Mtwara, wewe kama unaona panakufaa nenda.