Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Haijalishi, kauli zao kama za kwenye vigodoro tu hao pimbi,Hso vichwani ni vifuu tupu, lazima watatoa hiyo kauli
MSAADA UNAHITAJI BASI HATA MATAKWA YAO FUATA ,UMEWAHI SIKIA KOREA WANAOMBA?Kwa Utawala huu uliopo, huo Ubalozi wa Marekani utakuwa unatwanga maji.
Hivi nchi ya Korea ya Kaskazini na Demokrasia ni wapi na wapi????
Korea ya Kaskazini huwa kunakuwa na Demokrasia????? Tangu lini?????
Usiwapuuze wala kuwabeza. Marekani wana nguvu kubwa Sana, wakiamua kwa dhati kabisa kufanya lolote Wala hakutakuwa na uwezo wa ndani wa kuweza kuwazuia. Wana mbinu nyingi sana za kuweza kutudhibiti sisi.Haijalishi, kauli zao kama za kwenye vigodoro tu hao pimbi,
Hao Korea kaskazini nao ni wakina matonya kama sisi?Kwa Utawala huu uliopo, huo Ubalozi wa Marekani utakuwa unatwanga maji.
Hivi nchi ya Korea ya Kaskazini na Demokrasia ni wapi na wapi????
Korea ya Kaskazini huwa kunakuwa na Demokrasia????? Tangu lini?????
Na kaguswa swahiba wa Balozi wa US,Sugu........soon tutaanza kuona sanctions kwa baadhi ya wanasiasa
Hao na chama chao bia vyombo vya ulinzi ni Bure tu, hamna kituUsiwapuuze wala kuwabeza. Wana nguvu kubwa Sana, wakiamua kwa dhati kabisa kufanya lolote Wala hakutakuwa na uwezo wa ndani wa kuweza kuwazuia. Wana mbinu nyingi sana za kuweza kutudhibiti sisi.
Mama hana noma hata kidogo na Hawa upinzani but wale wanaoutaka urais ,uigp ndo wenye shida ,lengo ni kumharibia tu ,hata hii tekateka sidhani kama ana baraka nayoSema kama Sugu yule si ana u"frendi" na mama kizimkazi mpaka kwenye birthday yake alienda kula keki ama?
Kwa hiyo Mama anashindwa kikemea hayo mambo yanayo waumiza wananchi?Mama hana noma hata kidogo na Hawa upinzani but wale wanaoutaka urais ,uigp ndo wenye shida ,lengo ni kumharibia tu ,hata hii tekateka sidhani kama ana baraka nayo
HAWAJUI NDIO MAANA ANAWABEZA WALE SIO WENZETU KABISAAAAUsiwapuuze wala kuwabeza. Marekani wana nguvu kubwa Sana, wakiamua kwa dhati kabisa kufanya lolote Wala hakutakuwa na uwezo wa ndani wa kuweza kuwazuia. Wana mbinu nyingi sana za kuweza kutudhibiti sisi.
Crap comment from crippled mind.Naona wafadhili wa uvunjifu wa amani wanajitokeza.
Another crap comment from another crippled mind.Marekani siyo wa kutufundisha sisi maana ya democrasia na utawala bora
Kule kwao kuna Project 2025 manifesto ya Trump. Isome uelewe. Pia Biden amekuwa akizungumzia Red Line ya Nyata Nyau. Ametekeleza?
Tamko Halina ujumbe
Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani.
Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama
Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani kwa wote kama ilivyowekwa katika katiba za nchi zetu zote mbili, na ambazo ni muhimu kwa nchi zote za Kidemokrasia.
Tunatoa wito kwa serikali, vyama vyote vya siasa, asasi za kiraia, na wananchi kudumisha na kuheshimu haki hizi, na kushirikiana ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unakuwa huru, wa haki, wa amani, jumuishi, na wenye uwazi unaoakisi matarajio na matakwa ya wananchi wa Tanzania.
CrapAnother crap comment from another crippled mind.
Misaada itakatwa kwa wanyongeKateni misaada kwa hawa watu.
If that's the case, and since she's above all in a system kwanini asikemee na kuwazuia hao wanaojaribu kumuharibia presidential image yake?Mama hana noma hata kidogo na Hawa upinzani but wale wanaoutaka urais ,uigp ndo wenye shida ,lengo ni kumharibia tu ,hata hii tekateka sidhani kama ana baraka nayo