Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tamko baada ya Viongozi wa CHADEMA na waandishi kuachiwa. Je, ndio walioshinikiza kuachiwa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa Utawala huu uliopo, huo Ubalozi wa Marekani utakuwa unatwanga maji.

Hivi nchi ya Korea ya Kaskazini na Demokrasia ni wapi na wapi????
Korea ya Kaskazini huwa kunakuwa na Demokrasia????? Tangu lini?????
MSAADA UNAHITAJI BASI HATA MATAKWA YAO FUATA ,UMEWAHI SIKIA KOREA WANAOMBA?
 
Ule urafiki umeisha sasa ni matamko tu na kutishiana

USSR
View attachment 3068891

Ubalozi wa Marekani pamoja na CCM hawataki kabisa uonevu, ndio maana Katibu Mkuu wa CCM jana alitoa maagizo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, awaachie hao wapinzani, CCM haipendi kabisa uonevu na inachukizwa sana kuona mtu au Chama au taasisi yoyote nchini kuonewa kwa namna yoyote ile..!!


On other side of story..!! 👇
Ila nao CHADEMA, waache kiherehere, watii sheria bila shuruti, mambo ya kuwatishia Polisi wanatoa wapi? Wahuni tu wamekutana, hakuna Chama kabisa CHADEMA
 
Sema kama Sugu yule si ana u"frendi" na mama kizimkazi mpaka kwenye birthday yake alienda kula keki ama?
Mama hana noma hata kidogo na Hawa upinzani but wale wanaoutaka urais ,uigp ndo wenye shida ,lengo ni kumharibia tu ,hata hii tekateka sidhani kama ana baraka nayo
 
Ameshaonja utamu wa madaraka, kabadilika sana hakuwa hivi... Hapo usishangae akafanya chochote kisa madaraka...

Mnaijua raha ya kuendeshwa na v6 lc 300? Kuruka na boeing bara hadi bara..

Kodi za wananchi tamu bwana asikuambie mtu...

Nyie mwanzoni si mlimsikia eti hana nia ya kuendelea... Tupo wapi sasa hivi... Usishangae marais wengine kubadili hadi katiba ya nchi ili kubaki madarakani... Madaraka matamu aisee...
 
Mama hana noma hata kidogo na Hawa upinzani but wale wanaoutaka urais ,uigp ndo wenye shida ,lengo ni kumharibia tu ,hata hii tekateka sidhani kama ana baraka nayo
Kwa hiyo Mama anashindwa kikemea hayo mambo yanayo waumiza wananchi?
 
Marekani ni mtetezi wa haki Dunia nzima.Tunaiomba marekani impige marufuku chura kiziwi kwenda marekani na Kwa washirika wake Kwa kukiuka haki za binadamu Kwa kuwafunga wapinzani
 

Tumepokea vyema taarifa za kuachiliwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, vijana, waandishi wa habari, na mawakili waliokamatwa walipokuwa wakitaka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa amani.

Pia soma: Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

Marekani inaunga mkono kwa nguvu zote haki za msingi zisizoweza kupokwa za uhuru wa kujieleza na kukusanyika kwa amani kwa wote kama ilivyowekwa katika katiba za nchi zetu zote mbili, na ambazo ni muhimu kwa nchi zote za Kidemokrasia.

Tunatoa wito kwa serikali, vyama vyote vya siasa, asasi za kiraia, na wananchi kudumisha na kuheshimu haki hizi, na kushirikiana ili kuhakikisha mchakato wa uchaguzi unakuwa huru, wa haki, wa amani, jumuishi, na wenye uwazi unaoakisi matarajio na matakwa ya wananchi wa Tanzania.
Tamko Halina ujumbe
 
Mama hana noma hata kidogo na Hawa upinzani but wale wanaoutaka urais ,uigp ndo wenye shida ,lengo ni kumharibia tu ,hata hii tekateka sidhani kama ana baraka nayo
If that's the case, and since she's above all in a system kwanini asikemee na kuwazuia hao wanaojaribu kumuharibia presidential image yake?
 
Hii balozi nayo chawa tu ilishindwa kulaani inakuja pongezi si ingepiga kimya tu. serikali iko busy kwenda na mapigo ya mabeberu kwa kugawa raslimali ndo maana
 
Back
Top Bottom