Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni

Nafikiri hii ndio fake news sasa
Kukosea tarehe tena anaandika mtu mwingine na kumpelekea Balozi kusaini ni aibu kubwa
Inawezekana Saudia kuchukua bandari kwa mkataba ila kuna watu wameitoa kabla
Kweli hatuna matusi ila rudi ubalozini kawaambie watoa barua nyingine tena ya kuomba radhi kwa tarehe
 
Ubalozini hawawezi kukosea tarehe kiasi hicho, eti February 25.

Hii itakuwa ni barua ya mchongo ya machawa wa Lumumba wakijaribu kuokoa jahazi baada ya UFISADI kujulikana
Ufisadi upi ndugu yangu. Au umeshaanza Ramli kama kawaida yenu
 

Wajomba wanaifaidi sana Tanzania awamu hii.
 
Kwa nini tusome press kutoka Saudi wakati Tanzania tuna kitengo cha habari Serikalini. Akina msemaji wa serikali ndo waje na taarifa ndo namna sahihi kwa watanzania
 
tarehe ya barua haijafika nadhani ingekuwa vyema ungesubiri muda wa kuitoa hiyo taarifa kwa umma vinginevyo tuamini watu walipiga kwenye mshono ndiyo maana mmepoteana.
Hii barua imeandikwa tarehe 25/2/2025 hapo wamechemka "kweri kweri". UVCCM wanapambana kushona kiraka. Hili taifa limekuwa chaka la wanyang'anyi (robbers) hakuna kitu kitabaki hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…