Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Tuliza basi huo mshono mtoto wakiume wewe. Sukuma Gang ndio nini? Mambo ya Kigogo2014 peleka huko huko twitter.ukweli lazma usemwe, mmezzoea kuzuia uhuru wa habari sasa mnatajka kwenda hadi kenya, MATAGA NA SUKUMA GANG MNA SHIDA sana
Tangia lini kenya adui?Unaonesha roho ya uoga mbele ya adui mkuu. Acha kuwaogopa hao manyang'au wa Nairobi
Tuwe makini sana na hawa WakikuyuPamoja na yote hayo kazi iendelee
Swali la kitoto na la kijinga sana hiliMbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Du!Sio kila jambo ni la kwenda mahakamani, mambo mengine ni kufanya sabotage tu
Kenya ni adui wa Tanzania tangia baada ya vita ya KageraTangia lini kenya adui?
Hapo umekosea, hizi nchi mbili si maadui. Shida ilikuwa idelogies, lakini nyinyi mntatumind sanaaa π.Kenya ni adui wa Tanzania tangia baada ya vita ya Kagera
Ilivyo USA na CUBA ndio kama zilivyo KENYA na TANZANIAHapo umekosea, hizi nchi mbili si maadui. Shida ilikuwa idelogies, lakini nyinyi mntatumind sanaaa π.
Rais Samia dawa ya mafisadiPamoja na yote hayo kazi iendelee
Siasa za Ujamaa Tanzania VS Ubepari Kenya. Unafikiri watakuja kuwa ndugu zetu hao watu?Tangia lini kenya adui?
Huyu mama atawanyoosha zaidi ya MagufuliRais Samia dawa ya mafisadi
Cuba walikuwa wababe sana chini ya CastroIlivyo USA na CUBA ndio kama zilivyo KENYA na TANZANIA
Legacy inatetewa na wazawaLegacy huwa inajisimamia na kujitetea yenyewe tu.
Tuliza ball mkikuyu wewe. Tutawafukuza wote hapo NamangaHapo umekosea, hizi nchi mbili si maadui. Shida ilikuwa idelogies, lakini nyinyi mntatumind sanaaa π.
Nyinyi wazembe hamna lolote mtatufanyia. Kwanza asilimia kubwa ya madada poa na omba omba Kenya ni watz. Hawa ndiyo wale wawekezaje mama kaongelea nairobi ππTuliza ball mkikuyu wewe. Tutawafukuza wote hapo Namanga
Kwahiyo ndio makavu live sio.Nyinyi wazembe hamna lolote mtatufanyia. Kwanza asilimia kubwa ya madada poa na omba omba Kenya ni watz. Hawa ndiyo wale wawekezaje mama kaongelea nairobi ππ
Tutawapiga kama tulivyopiga Uganda ya AminNyinyi wazembe hamna lolote mtatufanyia. Kwanza asilimia kubwa ya madada poa na omba omba Kenya ni watz. Hawa ndiyo wale wawekezaje mama kaongelea nairobi ππ
Lakini siriasi, singependa hizi nchi zizozane wala zipigane. Sikujui lakini bado nakupendaTutawapiga kama tulivyopiga Uganda ya Amin
Siwezi kuolewa na mwanaume wa Kenya 254Lakini siriasi, singependa hizi nchi zizozane wala zipigane. Sikujui lakini bado nakupenda