Tetesi: Ubalozi wa Tanzania Uturuki unashirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwadeport Watanzania

Hiki ndo nachozungumzia alaf wengine wanaleta ujuaji mijitu ata kenya haijawai kufika inajitia ujuaji. Mtu unadeportiwa alaf vitu vyako mali zako unaziacha na ubalozi hausaidii chochote kuhusu ili unarudishwa na nguo ulizovaa tu
Watu wengi sio wasafiri kabisaa hiyo passport yenyewe akitaka kuchukua anakuja na uzi hapa au jinsi ya kufika Lusaka harafu aongelee mambo ya Paper hamuwezi kuelewana kwa sababu yeye bado vitu vingi hana na hajui kama vipo..
 
Mama yupo huko na dege kubwa, msisubiri kukamatwa. Ombeni lift kwa Bi. Mdash.
 
Useme raia wa wapi?
 
Watu hawana shukrani kwa kweli
 
Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.
Sasa kama huna hayo unayoyaita makaratasi unataka balozi afanye nini? Ubalozi Uturuki unafanya kazi nzuri tena mnatakiwa mumshukuru balozi maana mnatakiwa mfikie jela.
 
tuliza kishimo we bwege. Kutetea raia wake toka lini ikawa msaada? Kama hili unaita msaada ni nini kazi ya ubalozi kwa raia zake
Watanzania wengi kwa sababu ya kukosa Elimu bora hakuna wanachojua mkuu hasa mambo ya safari ukitaka hizi mambo ongea na Wasenegal au Nigeria watakuelewa sio hawa wavimba macho na shule zao za kata..
 
wengine wanaleta ujuaji mijitu ata kenya haijawai kufika inajitia ujuaji.
Sasa wewe Mzee wa Uturuki hapa unalilia nini, wee rudi tu uje ukalime mihogo, watuki hawataki nchi yao.🤣🤣🤣🤣 Shida iko wapi hapo.
 
Watanganyika elimu ni muhimu sana tuache ujuaji. Sio elimu ya kusoma na kujumlisha, namanisha elimu ya kufahamu mambo mbalimbali.
 
mbona Mzizi Mkavu yupo Uturuki akiuza ndumba zake ???Mtafuteni awasaidie ye alipataje makaratasi ya kuishi Uturuki ??
 
zamani waliitwa beach boys , yaani uzamie nchi ya watu bila utaratibu maalum utake balozi akutetee? kuna vitu wala havihitaji cheti cha chekechea kuvielewa.
 
Watanzania wengi kwa sababu ya kukosa Elimu bora hakuna wanachojua mkuu hasa mambo ya safari ukitaka hizi mambo ongea na Wasenegal au Nigeria watakuelewa sio hawa wavimba macho na shule zao za kata..
Wewe msenge, mimi najaza kitabu cha 4 saivi cha passport na bado unaniita mshamba, huna cha kunifundisha kwenye maswala ya travelling. Tatizo lenu wabongo mnaoishi nchi za watu bila karatasi huwa mna expect privileges ambazo ni almost impossible kuzipata in this capitalism economy. Ndo maana nawa support immigration wanavyowanyima boarding pass JKNIA.
 
Mtu yeyote anayefuata Mila za kiarabu hata kama sio mwarabu yeye huwa anadai Haki na anaamini ni jukumu lako kumtendea haki popote lakini ni mvunjaji.mkubwa wa Haki za wengine wasiofuata Mila hizo za kiarabu
 
Ubalozi unakutetea iwapo wewe ni raia mwema. Wewe ume ova stay! (Hapo wewe sio raia mwema tena) na isitoshe walio wengi uko wanafanya umalaya😭. Akuna kiongozi mwenye akili timamu atakusaidia katika hilo. Fuateni sheria za nchi mlizopo.Acheni Uswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…