Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi sio wasafiri kabisaa hiyo passport yenyewe akitaka kuchukua anakuja na uzi hapa au jinsi ya kufika Lusaka harafu aongelee mambo ya Paper hamuwezi kuelewana kwa sababu yeye bado vitu vingi hana na hajui kama vipo..Hiki ndo nachozungumzia alaf wengine wanaleta ujuaji mijitu ata kenya haijawai kufika inajitia ujuaji. Mtu unadeportiwa alaf vitu vyako mali zako unaziacha na ubalozi hausaidii chochote kuhusu ili unarudishwa na nguo ulizovaa tu
Mkuu hapo ubalozi hawana mamlaka. Cha kukusaidia ni hiyo kurudishwa salama bila kupelekwa mahakamani kwa uzamiaji.
Huku Tanzania wasomali kila siku wapo mahakamani.
Cha kufanya fanya juu chini usikamatwe na ukidakwa ujue pa kutokea.
Kwanza kataa wewe sio mtanzania
Pia la kujiuliza. Unasema unatumiwa passport? Inatoka wapi?
Swali zuriUseme raia wa wapi?
Watu hawana shukrani kwa kweliUmezamia nchi za watu Kiharamu.
Ubalozi unaongea na wewe kwa kukubembeleza huku wanakusikilizisha nyimbo za Ali Kiba, unakupokea, unakupatia documents ili urudishwe nyumbani kwenu na wala huko nyumbani ukifika haufunguliwi kesi ya kutoroka nchini kinyume na sheria
Unataka ubalozi ukufanyie kipi hata uone umekutetea?
Kitendo cha mamlaka za Turkey kupiga simu ubalozini na kuwataarifu kuhusiana na wewe, hilo pekee unapaswa kuupongeza ubalozi.
Sasa kama huna hayo unayoyaita makaratasi unataka balozi afanye nini? Ubalozi Uturuki unafanya kazi nzuri tena mnatakiwa mumshukuru balozi maana mnatakiwa mfikie jela.Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.
Watanzania wengi kwa sababu ya kukosa Elimu bora hakuna wanachojua mkuu hasa mambo ya safari ukitaka hizi mambo ongea na Wasenegal au Nigeria watakuelewa sio hawa wavimba macho na shule zao za kata..tuliza kishimo we bwege. Kutetea raia wake toka lini ikawa msaada? Kama hili unaita msaada ni nini kazi ya ubalozi kwa raia zake
Sasa wewe Mzee wa Uturuki hapa unalilia nini, wee rudi tu uje ukalime mihogo, watuki hawataki nchi yao.🤣🤣🤣🤣 Shida iko wapi hapo.wengine wanaleta ujuaji mijitu ata kenya haijawai kufika inajitia ujuaji.
Ngoja niombe uraia wa Nigeria!Hapo ndo nawapendea wanaijeria mtu wao akidipotiwa nakufikishwa Nigeria wanamkataa wanasema siyo raia wao inabidi warudi naye.
Sasa kama hawawataki mnang'ang'ania Nini huko?si mtafute nchi zingine?au mrudi nyumbani?maana bongo yenyewe siku hizi kama Instanbul 😁Waturuki hawataki wageni ukiomba karatasi upewi
Wewe ni muhamiaji haramu, hakuna haja ya kutetea wahamiaji haramu.tuliza kishimo we bwege. Kutetea raia wake toka lini ikawa msaada? Kama hili unaita msaada ni nini kazi ya ubalozi kwa raia zake
Wewe msenge, mimi najaza kitabu cha 4 saivi cha passport na bado unaniita mshamba, huna cha kunifundisha kwenye maswala ya travelling. Tatizo lenu wabongo mnaoishi nchi za watu bila karatasi huwa mna expect privileges ambazo ni almost impossible kuzipata in this capitalism economy. Ndo maana nawa support immigration wanavyowanyima boarding pass JKNIA.Watanzania wengi kwa sababu ya kukosa Elimu bora hakuna wanachojua mkuu hasa mambo ya safari ukitaka hizi mambo ongea na Wasenegal au Nigeria watakuelewa sio hawa wavimba macho na shule zao za kata..
kijanamtanashati Tunaomba ufafanuzi kwa hii hoja.Unataka ubalozi ukufanyie kipi hata uone umekutetea?
Ubalozi unakutetea iwapo wewe ni raia mwema. Wewe ume ova stay! (Hapo wewe sio raia mwema tena) na isitoshe walio wengi uko wanafanya umalaya😭. Akuna kiongozi mwenye akili timamu atakusaidia katika hilo. Fuateni sheria za nchi mlizopo.Acheni Uswahili.Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.
Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi anapelekwa kituoni akifika kituoni polisi wanapiga simu ubalozini wanaongea nao kituruki sijui wanaongeaga nini baadae wanakupa sim unaongea na ubarozi.
Ukiongea na ubalozi unakuchombeza unakufariji mtu unafarijika unazani ukimaliza kuongea na ubalozi polisi watakutoa kumbe ndo imekula kwako hiyo kesho unatumiwa passport unarudishwa Tanzania utake usitake.
Ubalozi aukutetei ndo kwanza wanashirikiana na polisi. Vijana wengi wanaoishi Uturuki ambao awana makaratasi awatoki nje wanaogopa kukamatwa na polisi.
Ukikamatwa ujue ndiyo safari ya Tanzania imewadia na ubarozi aukutetei. Kama ubalozi unashindwa kutetea raia zake kazi ya ubarozi inakua nini?
Mbona unauliza swali ambalo limejibiwa? au unasterehesha barazakijanamtanashati Tunaomba ufafanuzi kwa hii hoja.