Ubalozi wa Ufaransa wafuta matangazo ya Magufuli!

Halafu wasichokijua mataga watu wakiona hiyo sura ndo wanazid kuwatia uchungu watanzania kumuona mtu ambaye amewatasa miaka mitano, mbaya zaid sura haina mvuto
Usiniambie kwamba Lissu ana sura ya kuvutia
 
Ni panic, wanafikiri mabango ndiyo yatapiga kura!!
 
Waswahili walisema kizuri cha jiuza kibaya chajitembeza. Inatumika nguvu kubwa kupita kiasi sijui sababu ni nini!? Media tv, radio, magazeti wamehodhi.
 
Kwa kuwadanganya misukule hamjambo
Nani anaweza bandika Bango ubalozini
Hivi nyie mbona Wapumbavu sana
Yaani kujazana Uongo mnaona wajuaji kumbe wajinga tu!!
Na Vibendera tayari vimefuata upepo
Hahaha mwaka huu Mtakiona
Mbona unahasira kama mwanamke mjamzito?
 
Wamebandika hadi kufunika alama za usalama barabarani
 
hapo kosa ni la mgombea au wabandika mabango na ile kazi wanapewa vijana asiyejua huu ni ubalozi au ni genge la muuza mkaaa
na ubalozi wa ufaransa aupo sensitive kama balozi wa america
 
Nimemkuta kijana mmoja anabandika bango la ccm kwenye ukuta wangu nimemzibua, sasa hivi ndio anapiga simu kwa bosi wake amletee hela ya rangi hapa
Weka picha tuone kama siyo kijifariji
 
Nimepita ubalozini asubuhi mabango yapo karibu na ubalozini sio ubalozini

Chadema wacheni kuweweseka
Wewe Kila mahali upo; post za Iringa, mbeya, mwanza, Arusha kote upo. Ni robot au? You can not make life out lies....rather a becoming toilet paper in near future. Watch out!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…