Ubalozi wa Ufaransa wafuta matangazo ya Magufuli!

Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani.

Makaratasi hayo inaonyesha yamebandikwa kwa fujo na jeuri fulani huku ikionyesha waliobandika walikuwa na kinga fulani.

Kwa mfano, nimeyaona katika kuta za ofisi za umma mfano bodi ya Utalii.

Cha kufurahisha ni pale nilipooona makaratasi yaliyobandikwa katika kuta za ubalozi wa Ufaransa, yakiwa yamefutwa ingawa kwa sababu yaliwekwa na gundi, yameharibu kuta zile.

Swali langu ni, hizi fujo kuchafua maeneo ya umma, ofisi za taasisi zisizofungamana na upande wowote, ofisi za umma na za watu binafsi pamoja na makazi yao bila idhaa yao, si kinyume cha sheria?

Palamagamba Kabudi lazima atakuwa amepelekewa ujumbe wa kukemea balozi za nje hapa Tanzania kuharibiwa mali zake, ikumbukwe kuwa maeneo yote ya ubalozi huhesabika kama nchi huru kufuatana na mkataba wa Geneva wa mwaka 1961. CCM Mpya uvunjifu wa sheria na katiba Tanzania imewafanya wanogewe kwenda kuvamia nchi za watu (maeneo ya ubalozi).

www.government.nl › topics › diplo...
Diplomatic immunity | Embassies, consulates and other representations ...

For instance, the receiving state is not permitted to prosecute diplomats, and must protect them, along with their families and property. The main aim of the
 
UBALOZI haufungamani na siasa za nchi husika,kama yalibandikwa ni uvunjifu wa sheria na wana haki ya kuyafuta lakini isichukuliwe kwamba hawampendi mgombea,hiyo si hoja!!
 
Roho inakaribia kuuacha mwili ndo maana wanatapatapa.Alafu unasikia wanajifariji kua ccm inakubalika nchi nzima.Wawabandike hadi wake zao na watoto wao ila ukweli nikwamba wana hofu kuu.
 
kwa kweli kama ni mabango , nakubali yamebandikwa aisee mkuu sio dar kuna sehem nilipita mpaka nikacheka , yahani kuna kimsingi katika round about moja wamekishona mabango utafikil kama plaster yani , kwa kweli mabango yamekula mtaji wa pesa ya kutosha , japo sijui bango moja laweza kua sh ngapi,
 
Hizo karatasi za mabango ya ccm zinafaa kutumika na watoto wa shule za msingi kujaradia madaftari yao.
 
kwa kweli kama ni mabango , nakubali yamebandikwa aisee mkuu sio dar kuna sehem nilipita mpaka nikacheka , yahani kuna kimsingi katika round about moja wamekishona mabango utafikil kama plaster yani , kwa kweli mabango yamekula mtaji wa pesa ya kutosha , japo sijui bango moja laweza kua sh ngapi,
Na go moja kuchapisha ni sh 500
 
Ulivoandika nikajua hayo matangazo yalikua kwenye website ya ubalozi wa ufaransa..... Sasa mbwa wewe unanilisha matango poli na hadisi zako hazina kichwa wapa pumbu 😔
 
Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani.

Makaratasi hayo inaonyesha yamebandikwa kwa fujo na jeuri fulani huku ikionyesha waliobandika walikuwa na kinga fulani.

Kwa mfano, nimeyaona katika kuta za ofisi za umma mfano bodi ya Utalii.

Cha kufurahisha ni pale nilipooona makaratasi yaliyobandikwa katika kuta za ubalozi wa Ufaransa, yakiwa yamefutwa ingawa kwa sababu yaliwekwa na gundi, yameharibu kuta zile.

Swali langu ni, hizi fujo kuchafua maeneo ya umma, ofisi za taasisi zisizofungamana na upande wowote, ofisi za umma na za watu binafsi pamoja na makazi yao bila idhaa yao, si kinyume cha sheria?
Mungu wabariki wazungu
 
Kuna mgombea anatafuta kujulikana nchi nzima hata baada ya kutawala miaka mitano anahisi hajulikani, mwacheni aendelee kujitambulisha kwa mabango.
Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani.

Makaratasi hayo inaonyesha yamebandikwa kwa fujo na jeuri fulani huku ikionyesha waliobandika walikuwa na kinga fulani.

Kwa mfano, nimeyaona katika kuta za ofisi za umma mfano bodi ya Utalii.

Cha kufurahisha ni pale nilipooona makaratasi yaliyobandikwa katika kuta za ubalozi wa Ufaransa, yakiwa yamefutwa ingawa kwa sababu yaliwekwa na gundi, yameharibu kuta zile.

Swali langu ni, hizi fujo kuchafua maeneo ya umma, ofisi za taasisi zisizofungamana na upande wowote, ofisi za umma na za watu binafsi pamoja na makazi yao bila idhaa yao, si kinyume cha sheria?
Nimepita ubalozini asubuhi mabango yapo karibu na ubalozini sio ubalozini

Chadema wacheni kuweweseka
Nimemkuta kijana mmoja anabandika bango la ccm kwenye ukuta wangu nimemzibua, sasa hivi ndio anapiga simu kwa bosi wake amletee hela ya rangi hapa
Wamesema kimoyomoyo TUONDOLEENI UPUUZI WA JIWE HAPA
Utakufa na stress! Hii nayo yakuanzisha thread kweli??
 
Halafu wasichokijua mataga watu wakiona hiyo sura ndo wanazid kuwatia uchungu watanzania kumuona mtu ambaye amewatasa miaka mitano, mbaya zaid sura haina mvuto
Mtateseka sana mliozoea kula ngada
 
Katika pitapita zangu katika maeneo mbalimbali ya viunga vya Jiji la Dar es Salaam, nimeshuhudia hivi karibuni mfumuko wa mabango na makaratasi mbalimbali ya kumnadi mgombea wa Urais wa CCM, John Magufuli pamoja na baadhi ya wagombea wa CCM wa Ubunge na hata Udiwani.

Makaratasi hayo inaonyesha yamebandikwa kwa fujo na jeuri fulani huku ikionyesha waliobandika walikuwa na kinga fulani.

Kwa mfano, nimeyaona katika kuta za ofisi za umma mfano bodi ya Utalii.

Cha kufurahisha ni pale nilipooona makaratasi yaliyobandikwa katika kuta za ubalozi wa Ufaransa, yakiwa yamefutwa ingawa kwa sababu yaliwekwa na gundi, yameharibu kuta zile.

Swali langu ni, hizi fujo kuchafua maeneo ya umma, ofisi za taasisi zisizofungamana na upande wowote, ofisi za umma na za watu binafsi pamoja na makazi yao bila idhaa yao, si kinyume cha sheria?
Chema chajiuza kibaya chajitembeza simple like that.
 
Kuta na uzio wa balozi za nje hairuhusiwi kuweka mabango aina hiyo kwa sababu ile ni teritorial place.

Walioweka walikosea.
 
Halafu wasichokijua mataga watu wakiona hiyo sura ndo wanazid kuwatia uchungu watanzania kumuona mtu ambaye amewatasa miaka mitano, mbaya zaid sura haina mvuto
ama kweli limbwata siyo tu kwa wanawake bali hata kwa wanachama wa chadema kiongozi wao kawalisha limbwata wanachama wake. hawaoni kabisa
 
Kwa kuwadanganya misukule hamjambo
Nani anaweza bandika Bango ubalozini
Hivi nyie mbona Wapumbavu sana
Yaani kujazana Uongo mnaona wajuaji kumbe wajinga tu!!
Na Vibendera tayari vimefuata upepo
Hahaha mwaka huu Mtakiona
Sasa vijana wa lumumba mnaujua ubalozi nyie?maana hata wakubwa zenu wengi tu hawaujui
 
Back
Top Bottom