Ubalozi Wetu DC...Pasipoti Yangu...

Mange ni lazima awe very careful kwani kuwa mitusi aliyotukana watu akikurupuka kurudi tu itakula kwake!! Amewakwaza wengi ambao bado wako kwenye natasi nyeti za maamuzi!!! Kumbuka Hangaya kasema haingilii mahakama!
 
Duh hii ndio diplomasia ya kidoplomatic..., tashangaa kama pasi yako hautaipata ndani ya wiki hii...., wengine wajifunze kutoka kwako yaani unasifia kazi nzuri alafu unakumbushia uozo uliofanyika kwa muda alafu unakumbushia / kuomba uozo huo urekebishwe...,

Anyway Karibu Bongo ingawa Juzi ni afadhari ya kesho mambo huku jua la utosi...,
Ngoja nikukaribishe na hii classic (Bongo haijabadilika bado yanatukuta wazee wenzangu)

 
Dah, kwahiyo licha ya jitihada zako kubwa za kumtetea Shujaa Mwendazake bado hakuwezesha upatikanaji wa hati yako ya kusafiri? 🙄 Someone told me Mwendazake alikuwa mahiri sana wa ku-use then abuse people 😔
 
Mzee Mwanakijiji ongeza jitihada za kufungua nyuzi za kumsifia Mama,wewe sifia,imba imba anaupiga mwingi,hatimae watakupa passport na kajikazi ka kuelekea 2025!!!

Mange wa sasa ni chawa wa Mama na CCM,2025 ndio ataonekana zaidi kazini,kwa sasa anapasha pasha tu!!
 
Dah, kwahiyo licha ya jitihada zako kubwa za kumtetea Shujaa Mwendazake bado hakuwezesha upatikanaji wa hati yako ya kusafiri? 🙄 Someone told me Mwendazake alikuwa mahiri sana wa ku-use then abuse people 😔

Vipi na wewe ule mgao wa kuipigia CCM kampeni 2015 walikulipa?!!
 

Wanataka kuwasafisha baada ya jana kutoa topic ya madudu ya ubalozi
 
Kweli asee
 
Siku ile Chief Hangaya alivyomuona Mange nakusema ‘nimefurahi kukuona’ watu wa ubalozi walisikia na sasa wamejiongeza kumhudumia haraka haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…