Mtanzanyika
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 368
- 425
Mkuu nakushauri Chukua Runex ya engine 2NZ yaani ya CC 1800 utaenjoy sana ,very powerfully na comfotability with high speed ,gia box yake inameno kwa juu sf snHabari Wakuu...... Niko mbioni kuagiza Toyota Allex ila kabla ya kufanya maamuzi hayo ningependa kupata maoni ya wataalamu juu ya uzuri na ubaya wa hiyo gari.... Kuhusu labda ulaji wa mafuta, uimara wa body na comfortability yake kwenye uendeshaji n.k.... Kwa sasa natumia Toyota IST ila nataka kumuachia wife ili mimi niagize hiyo Toyota Allex.... Nakaribisha mawazo yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Alex ipo vizuri mkuu, haili mafuta ni ipo comfortable kwa mwanaume
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Nimekupata mkuu ngoja niicheki nayo nione muonekano wake kwanzaMkuu nakushauri Chukua Runex ya engine 2NZ yaani ya CC 1800 utaenjoy sana ,very powerfully na comfotability with high speed ,gia box yake inameno kwa juu sf sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu ni sawa na Allex ,tofauti ni majina tu na bei zinalingana
Kila kitu ni sawa na Allex ,tofauti ni majina tu na bei zinalingana
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemeana na ubora wa gari,lakin huwa zina anzia 10M -12MOoooh unamaanisha Runx mkuu.? Kwa Allex au Runx mpaka naiingiza road unaweza nikadiria niwe na sh.ngapi.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo 2NZ ni CC 1300 na hiyo 1.8 ni 1ZZMkuu nakushauri Chukua Runex ya engine 2NZ yaani ya CC 1800 utaenjoy sana ,very powerfully na comfotability with high speed ,gia box yake inameno kwa juu sf sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nilijichanganya kidogoMkuu hiyo 2NZ ni CC 1300 na hiyo 1.8 ni 1ZZ
Acha kuifananisha Allex/Runx na mambo ya kijingaRunX, Alex, Vitz, Ist, Starlet, Passo zote jamii moja tu za akina Mama kwenda Shopping.
Naona ni jamii moja tu
umesahau wadogo zao porte raum voltz fielder nkRunX, Alex, Vitz, Ist, Starlet, Passo zote jamii moja tu za akina Mama kwenda Shopping.
hakuna tofauti sasa
πππ unakuta jamaa amevimba kabisa kwenye Porte!umesahau wadogo zao porte raum voltz fielder nk