Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

Mkuu kama shida yako ni kupishwa na ng'ombe basi nunua trekta
hivi MADA umeisoma na kuielewa
UBAYA na UZURI wa TOYOTA ALLEX
kwanini hutaki bias wewe unashobokea tu uzuri
basi mwambie mwenye MADA aseme UZURI wa Toyota Allex
km ni UBAYA mm nasema HAKAFAI kwa Wanaume kama ninyi kuendesha zipo gari za bei ya chini za Wanaume ambao ng'ombe watawapisha lkn sio hako ka kuendea sokoni
 
Mkuu nakushauri Chukua Runex ya engine 2NZ yaani ya CC 1800 utaenjoy sana ,very powerfully na comfotability with high speed ,gia box yake inameno kwa juu sf sn

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeendesha zote iyo ya 2NZ1.8L (Runx S) na 1NZ FE 1.5L (Runx X).

Zote zina run smooth, ila 1.5L more economic. Nilienda nayo Dar to Mwanza kwa mafuta ya Laki 1.2 wakati mshikaji wangu alienda na Altezza 6 cylinders akasema katumia Mafuta ya Laki 2.7 hivi.

Hadi sasa 3 years nimeimiliki sijaona tatizo kubwa. I will keep it coz inanisukuma sana.

Ukinunua usiinyayue sana unless unakaa au misele yako mabondeni sana.
 
Mkuu nakushauri Chukua Runex ya engine 2NZ yaani ya CC 1800 utaenjoy sana ,very powerfully na comfotability with high speed ,gia box yake inameno kwa juu sf sn

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ya 2NZ ni 1290 mkuu likely 1300cc haiwezi kuwa na nguvu na wala sijawahi kuiona runx ya 1300cc hata huko beforward.

Zipo za 1NZ ambazo ni 1490cc likely 1500cc hii ni nzuri kwa nguvu na economy. Pia ipo ya 1ZZ na 2ZZ ambazo ndio 1790cc likely 1800 hizi zina nguvu na speed ya haraka sana japo ni slightly economy on town trip za foleni ila safarini utaipenda. Engine za 2ZZ nyingi wanaziweka manual gear shifting!
 
Nimeendesha zote iyo ya 2NZ1.8L (Runx S) na 1NZ FE 1.5L (Runx X).

Zote zina run smooth, ila 1.5L more economic. Nilienda nayo Dar to Mwanza kwa mafuta ya Laki 1.2 wakati mshikaji wangu alienda na Altezza 6 cylinders akasema katumia Mafuta ya Laki 2.7 hivi.

Hadi sasa 3 years nimeimiliki sijaona tatizo kubwa. I will keep it coz inanisukuma sana.

Ukinunua usiinyayue sana unless unakaa au misele yako mabondeni sana.
Mkuu,nisaidie jambo,unaijua sana allex TA NZE-124?,4WD yake ni automatic ama?,maana ndo mpya na nimeiona ni 4wd ila sijaona button ya kuiingiza. 4wheel,na je ni kweli 4 wheel inabugia mafuta sana?
 
Sio kila mtu ana safari za huko Tabora, wengine hata kibaha maili moja hawaendi...wakienda sana ni mbezi au kiluvya.

Bora umewapaka Mkuu, hivyo vigari huwezi vipiga mguu, Dar Tabora Dar, au Dar Arusha Dar lazima utakatupa tukubaliane tu ni kagari ka SOKONI
huwezi ingiza kwa wanaume wenzako km L/Cuiser au Harrier ingawa kuna Harrier mpaka za 12m
lakini kuendesha RunX, Alex, Vitz, Ist, Starlet, Passo eti niwahi Morogoro hakuna gari itakupisha acha viende sokoni na kupeleka watoto shule
 
Back
Top Bottom