cc2500
Senior Member
- May 31, 2018
- 124
- 222
Et "kitaulo"[emoji1] [emoji85]Allex jiandae Sana kutengeneza AC, mfumo wake wa AC unazingua sana, utakuwa mteja wa condenser na compressor otherwise uamue kutembea na kitaulo. Lakini otherwise ni gari nzuri sana, mimi imenilinda mjini hapa mwaka wa sita sasa na kila siku kanakula wastani wa 70km. Piga service safi alafu uwe na fundi mmoja unayemuamini.